Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wasanii na viongozi wa WCB waalikwa nyumbani kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi...
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Diamond VampireBaraka da Prince ft Ali Kiba Msamehe.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kuzindua mueleko wa chama cha ODM kinachoongozwa na raila Odinga nchini kenya kuelekea uchaguzi mkuu nchi kenya mwaka 2017, chama hicho kimeandaa sherehe kubwa ya siku 2 yaani ijumaa hii na...
5 Reactions
63 Replies
11K Views
Kwa wale wafutaliaj wa mambo watakuwa wameolidavua hili sasa kuna kundi A ambalo lenyewe linajiona kila kitu halitak ukaribu kabisa na kundi B hili linaundwa na Diamond na WCB,shettah, ney wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani...
6 Reactions
111 Replies
10K Views
Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku...
2 Reactions
0 Replies
820 Views
MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA | RAHA ZA WALIMWENGU
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Season ya Antlantis Bongo Movie Nowadays, Seasons ni habari ya mjini kwasasa,Why Bongo Movie kimyaa? Wakati tuna waigizaji wa kweli Hapa Tanzania? Ikiwemo Ray,Richie Rich,Lulu,Wema sepenya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamama maarufu mwenye haiba ya kipekee mjini, mange kimambi, hivi karibuni aliwaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya ku post video akicheza wimbo wa mwanamuziki mkongwe nchini, dully Sykes...
8 Reactions
39 Replies
8K Views
Haya hayaaaa Wale wenye timu zao wakina timu Domo na timu Kibakuli naona mambo yanapamba moto. Tarehe 13/9/2016 new hit song la Baraka ft Alikiba linaachiwa rasmi. Amini usiamini hili ni...
6 Reactions
162 Replies
27K Views
Habari ndugu zangu. Tunafaham kuwa ni siku chache tu tetemeko la ardhi limetokea mkoa wa kagera na kuathiri maeneo mengi hasa manispaa ya bukoba. Na siku kadhaa kabla ya tetemeko tukio la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu...
11 Reactions
303 Replies
41K Views
Mkali wa wimbo ‘Bado’ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la BSS...
8 Reactions
127 Replies
17K Views
Jamani anayejua hapa huyu vampire platnumz mbona hatupumui?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan. Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank...
2 Reactions
25 Replies
19K Views
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Muigizaji na mshindi wa tuzo ya oscar, lupita nyong'o, hvi karibuni amepata shavu jingine kubwa ambapo sura yake itaonekana kwenye jarida maarufu nchini marekani linalodeal na mambo ya fashion na...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…