Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kama tunavyoona Salama ameanza kuhost kipindi kipya cha Ngazi Kwa Ngazi na kuachana na kile cha awali cha Mkasi, ningependa kujua hatma ya hawa vijana wengine John na Muba waliokuwa wakiendesha...
11 Reactions
233 Replies
27K Views
Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja, huu msemo bhana umejidhihirisha kwa Rayvan na Harmonize baada ya kila mmoja kujiona fundi zaidi ya mwenzake ingawa meneja wao ndugu Ricardo...
2 Reactions
24 Replies
17K Views
Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui...
5 Reactions
153 Replies
15K Views
Baada ya kutotajwa jina lake kwenye tuzo za MTV MAMA 2016, Davido amejipa moyo kufanya vizuri mwakani kwenye tuzo hizo. Kupitia mtandao wake wa Twitter, muimbaji huyo ameandika, “I really...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wanaoona mbali walijua tu kuwa mbio zako ni za sakafuni. Ulimtenda mumeo na ukataka afungwe, na hata aliposhinda kesi hukuridhika ukaamua kukata rufaa. Bahati nzuri ulichelewesha ndo ikawa...
21 Reactions
91 Replies
22K Views
Msanii wa nyimbo za asili Saifa Karoli aliyevuma kitambo amefunguka na kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnumz kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya. Saida...
13 Reactions
56 Replies
13K Views
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe Katika movie hii...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nasikitishwa sana na baadhi ya mashabiki na baadhi ya wasanii wakubwa kwa kuzidisha jitihada kumshusha kijana wawatu kwa hatua anazonipiga. Hivi TZ tutabadilika lini na kuachana na...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Msanii King Crazy GK aliyetamba na ngoma zake kama vile sister sister na sauti ya Manka ambaye alitikisa vilivyo na style yake ya kuchana ingawa alikuwa na kigugumizi Ila kwa sasa GK wa sasa...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Ili kuipa kiki zaidi nyimbo yake Diamond amepost video ya Wema akiimba wimbo wa Salome, pengine Wema amejirekodi na kumtumia Diamond ili wote wawe gumzo kwenye media za udaku tzz
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Leo ndo siku ya kutangazwa nominees za tuzo za Mtv Mama's awards 2016 ungana nami kukuletea vipengele live Pia kura safari hii zitapigwa kwa mtindo huu wa hashtags kwny social medias mfano...
0 Reactions
97 Replies
8K Views
Huyu nae Salome juwa huyu ndo simba akitua town kukumbiza swala, digidigi, Twiga, Viboko, yurt hadi minyooo just persevere. Lakini jaandae kuoga maji ya baharini kuondoa nuksi
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao...
12 Reactions
60 Replies
8K Views
Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!: September 22, 2016 mtu wangu wa nguvu, nakusogezea taarifa nyingine nzuri kutoka kwa Davido star wa muziki kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kumfaham vizuri huyu jamaa mwenye sauti nzito anaetangaza kutoka clouds media kwenye kipind cha Jahaz. Mzaliwa wa wap na amesoma wap?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie mawasiliano ya mwanamziki wa nyimbo za injili Christopher mwahangila
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Huyu ni mtanzania ila bahati mbaya hapa home(Tanzania) hajulikani ila kwa UK naona yuko moto siku si nyingi atakuwa mbali sana. After spending his early childhood in Tanzania, Tiggs moved to...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya Diamond Platnumz kutajwa kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 zinazotolewa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, sasa Tuzo nyingi zinazidi kutambua juhudi na kazi yake kwenye muziki wa Tanzania...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…