Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sio kwamba nimebadilika na kuanza kumshabikia Chibu. Mi Napenda kazi zuri. Wengi wanamshabikia pasi kujua utofauti wake na wasanii wengine. Chibu ni mfanyabiashara na kazi yake ni muziki, na ndio...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Mwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madam Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE...
5 Reactions
39 Replies
9K Views
Ukiusikiliza huu mziki hasa kiitikio jamaa hachuji, miaka 17 ndani ya game
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Wimbo wa Kiba ulionifanya nitafakari upya .. Kati yake na daimondi nani mkali nimeusikiaa mara 90 nimegundua ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni Msanii fwatilia hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]...
6 Reactions
43 Replies
12K Views
Beef la wiki hii kati ya Msechu na AT kiasi cha "kuchambana" kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa ni "kiki" ya kutambulisha wimbo wao wa Audio uitwao "Msengenyo". Humu JF yaliletwa maneno na...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimeona kwenye fiesta arusha wanauza tiketi kwa airtel na mzamini mkuu ni tigo hii ikoje???
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari! Husika na kichwa cha habari hapo juu. Hivi nani zaidi kati ya hawa wasanii wawili?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Msikilize hapa.anasema hata yeye amesikia taarifa za chid Benz kurudia unga
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam Katika wasanii wa kizazi kipya wenye gumzo kubwa kwa sasa ni Diamond na Ali Kiba, wasanii hawa wana timu kubwa za mashabiki kiasi kwamba kila upande huamini kuwa msanii wao ndiyo zaidi...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Kwenye show za radio, haswa vipindi vya kizazi kipya kumekuwa na pengo kwa watangazaji wa kike wenye uwezo na vipaji vya kipekee. Hii imekuwa kwa muda mrefu . Mtangazaji wa radio asiye kuwa na...
2 Reactions
56 Replies
61K Views
Alikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards (EMA) kipengele cha Best African Act. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black...
12 Reactions
102 Replies
15K Views
Unadhani kwanini pamoja na kuwa kinywaji na brand maarufu duniani, Coca-Cola inaendelea kumwaga fedha nyingi kwaajili ya matangazo? Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakati baadhi ya mastaa wakubwa nchini, wakionyesha support kubwa kwa mwanamuziki diamond platnumz, juu ya ujio wake mpya kwenye wimbo uitwao "SALOME", hali imekua tofauti kwa mastaa wakubwa...
2 Reactions
43 Replies
14K Views
Msanii ni neno lililotokana na sanaa hivyo basi mtu yeyote anayefanya kazi ya sanaa anaitwa masanii,sasa basi huwezi kuwa Mwanamziki kama siyo Msanii kwani Muziki ni Miongoni mwa Vipera vya sanaa...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni...
11 Reactions
85 Replies
12K Views
=> Jide ndio anamiliki gari ghali kuliko wasanii wote Bongo...Land Rover..Range Rover Evoque.. .kitu WHITE....
5 Reactions
180 Replies
34K Views
Hivi hili suala liliishia wapi? Huyo bibie alienda mahakamani kumfungulia mashitaka huyo Kapteni au Kapteni aliomba radhi? Kilichonifanya nikumbuke hili sakata ni hilo suala la Juma Pumba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hainaga ushemeji ya ManFongo ni wimbo uliobamba sana kwenye hizi nyakati za Tanzania ya wazinzi. Cha ajabu nilikuwa nasikilizaga chorus tu sijawahi kuconcentrate kusikiliza verse zake, jana wakati...
1 Reactions
64 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…