Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Wimbo wa Kiba ulionifanya nitafakari upya .. Kati yake na daimondi nani mkali nimeusikiaa mara 90 nimegundua ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni Msanii fwatilia hapa
Wimbo wa Kiba ulionifanya nitafakari upya .. Kati yake na daimondi nani mkali nimeusikiaa mara 90 nimegundua ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni Msanii fwatilia hapa
Huu wimbo kiba hautendei haki hajaupa promo anakazana na lupulo na tembo huku akiupa nafasi Aje
Nimekusoma JIPUAli kiba ana mzidi diamond sauti, kwa kweli hilo ni kweli
Ila sasa domo ana mzidi Kiba the rest, kama ifutavyo.
Composing/kutunga
Cariography/kupafom
Dressing/kutupia
Marketing/masoko
Management/menejiment
Communications/mawasilioano hasa matumiz ya mitandao na ku connect na washabiki
Exposure/domo kaiona dunia sehemu nyingi kuliko Kiba.
Domo kwa vitu alivo mzidi kiba ni vingi sanaa, na sio ajabu kwa kuwa hata barnaba, belle 9 na Ben pol na hata Jux wana mzidi mbali domo kwa sauti nzuri.
"Hivo Ali Kiba ni mwimbaji mzuri kuliko Domo ila siyo, msanii mzuri wala mwanamuziki(si ajabu wote si wanaamuziki wazuri pia) kuliko domo, kwa kuwa ili uwe msanii au mwana muziki mzuri kuna combined factors lazma ziwepo.
*wote wana fanya fresh lakin ndo uzuri
*haya ni mawazo yangu tuu, marekebisho yata pokelewa
Hahaha kwa nini Jipu!!?Nimekusoma JIPU
Wimbo wa Kiba ulionifanya nitafakari upya .. Kati yake na daimondi nani mkali nimeusikiaa mara 90 nimegundua ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni Msanii fwatilia hapa
You hurt me where it hurts more!Ali kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
tena baada ya majirani kuona ana mwandiko mzuri wanamnunulia na madaftari na kalamu lakini wapi..yule dogo anayetumia mkono wa kushoto jandiko baya anamkimbizaAli kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
Umenena vyemaAli kiba ana mzidi diamond sauti, kwa kweli hilo ni kweli
Ila sasa domo ana mzidi Kiba the rest, kama ifutavyo.
Composing/kutunga
Cariography/kupafom
Dressing/kutupia
Marketing/masoko
Management/menejiment
Communications/mawasilioano hasa matumiz ya mitandao na ku connect na washabiki
Exposure/domo kaiona dunia sehemu nyingi kuliko Kiba.
Domo kwa vitu alivo mzidi kiba ni vingi sanaa, na sio ajabu kwa kuwa hata barnaba, belle 9 na Ben pol na hata Jux wana mzidi mbali domo kwa sauti nzuri.
"Hivo Ali Kiba ni mwimbaji mzuri kuliko Domo ila siyo, msanii mzuri wala mwanamuziki(si ajabu wote si wanaamuziki wazuri pia) kuliko domo, kwa kuwa ili uwe msanii au mwana muziki mzuri kuna combined factors lazma ziwepo.
*wote wana fanya fresh lakin ndo uzuri
*haya ni mawazo yangu tuu, marekebisho yata pokelewa
Umenikumbusha mbali sananahuu ndio ukweli japokua mchungu kumezaAli kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
Vipi kuhusu lupela......na kidogo bado inakimbiza ata ukiangalia TV huwezi kuikosa sema unajitoa ufahamu iv.....tueleze kuhusu lupela ipo wapiKiukweli dimond ni msanii mburudishaji tu
Kiba ye ni mwanamuziki haswaa
Dimond anatoa nyimbo hazidumu wakati kiba anatoa nyimbo zinakaa sana masikioni mwa watu
AJE bado inatamba sana ukienda clubs kwenye studio televisheni lakini kidogo iliyotoka hivi karibuni ni kama imepotea bado aje inaenda sawa na waache waoane ya chege