Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Picha inajieleza....
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Ballers, my fav show at the moment. And I spotted how Ricky was nice from the get-go, but I never paid any to it. Now it makes sense where he got it all from. Just learned he is actually Denzel...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanajamvi nimeshangaa kuona account ya chegge ya Instagram wamei Huck ,,,, iv inawezekana mtu akakamatwa alie fanya ivo au vp wakuu.
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa. Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
2 Reactions
78 Replies
15K Views
Msanii Masanja mkandamizaji ametoa ushuhuda wake juu ya maisha yake kwa watu ambao wanadai hajaokoka Masanja amedai amepitia msoto mtakatifu na alikuwa anatembeza juisi mtaani kwenye magari na jua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Akihojiwa katika kipindi cha D'wikend Chat show cha clouds TV ameulizwa endapo akitaka kuiuza Instagram Account yake ataiuza kwa sh ngapi..akajibu dola milioni mbili za marekani ambayo ni sawa...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
Diamond aachia Remix ya All The Way Up Volume 2. Humo ndani amemtaja Zari, Mobeto , pamoja na Wema, na moja kati ya mistari yenye utata ni huu: ''wao wakipost tembo sie tunapost show''. OVA...
10 Reactions
171 Replies
38K Views
Jamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Video queen mwenye muonekano mzuri na aliejipatia umaarufu mkubwa hivi karibuni anaefahamika kwa jina la Tunda jana kupitia mtandao wa instagramu alipost majibu aliyopata baada ya kupima VVU na...
4 Reactions
76 Replies
16K Views
Huyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu Salaam Sana Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia...
13 Reactions
111 Replies
11K Views
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye...
8 Reactions
41 Replies
7K Views
Kama ni msikilizaji wa East Africa radio utaelewa ninachouliza.kuna dada alikuwa anatangaza miaka yote kipindi cha late night live kuanzia saa 4-7usiku.kwa sasa muda huo kuna The cruise.yule dadda...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna tetesi kwamba msanii nguli wa bongo fleva King Kiba amelipwa pesa za kitanzania zaidi ya 1b katika uzinduzi uliofanyika jana huko Dubai!! Je hizi tetesi ni za kweli au ndo kick tu za...
3 Reactions
76 Replies
14K Views
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
3 Reactions
108 Replies
40K Views
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Baadh ya picha ambazo Kiba ashazitoa ,inaonekana anatoa taratibu taratibu mpaka Team Mond isome namba
3 Reactions
164 Replies
116K Views
leo ni siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa aliekua miss Tanzania Wema sepetu,sijui anafikisha 27 au 28 maana kasema mwaka 2018 anafikisha 30 sasa naona hapa kati kama pameganda hivi Mama...
6 Reactions
123 Replies
21K Views
Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa...
4 Reactions
85 Replies
17K Views
Rapper kutoka Nigeria Olamide achaguliwa kuwania tuzo za Mtvema katika kipengele cha Best African Act..! Baddoh sneh... Rap God Olamide..! YBNL CEO... King Baddoh... Olamide... Vote 4 Olamide...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom