Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Maneno mengi sana yamesemwa kuhusu kiasi cha fedha alichonacho Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz na vile vile unaweza kumuita Chibu Dangote au Baba Tiffah, na wengine kufikia hatua ya kusema...
5 Reactions
31 Replies
12K Views
Wakuu niaje..... Tupi huku Mombasa......Kenya..... Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria...... Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria ..... Kikubwa zaid atapanda...
3 Reactions
88 Replies
13K Views
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5...
20 Reactions
190 Replies
26K Views
1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma 2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu SASA -Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
MSANII WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA ONETHEINCREDIBLE AWAKALIBISHA KWENYE BIRTHDAY YAKE KWA FREESTYLE MATATA.... FREE STYLE NYENGINE AKAWADISI NA WEUSI BUMKUBA
3 Reactions
28 Replies
10K Views
Wadau wa muziki wa Bongofleva, Nadhani wote mnaelewa kuhusu ushindani unaoendelea kati ya wanamuziki machachari kabisa nchini.. Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimeona meneja...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Yaani video za Ally wala hazivutii kuna kuwa na mrundikano wa picha kibao....ambazo hazina maana wala logic ,hua najiuliza sana huyu brother why? Kwanini video zisiwe na flow nzuri unarundika...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Waungwana leo kwenye pita pita yangu nilikutana na miongoni mwa washiriki wa BSS aliyekuwa miongoni mwa waliofanya vizuri (jina kapuni) akiwa kachoka sana mpaka nikamuonea huruma, sasa nikawa...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani ni nyoka anayetaka kumng’ata Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na bado anaishi katika...
7 Reactions
31 Replies
8K Views
Nimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua' yuko na TID kwenye Friday night live.... kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha' natamani kuona mwenye full clip...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Akiongea kwenye kituo cha radio cha magic fm mziki wa hip hop bongo ni mgumu hasa kwenye maslahi ndo maana anamueshimu sana joh makini Diamond" wakati mimi sijatoka nauza mafuta sheli nilikuwa...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Diamond platnumz ameendelea kukuza mziki wake baada ya kupata shavu kubwa la kutumbuiza kwenye majukuu makubwa nnchi uingereza akiwa na mkali kutoka marekani Neyo. Mtandao wa Revolt Africa umetoa...
8 Reactions
79 Replies
8K Views
Yule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa. Chanzo: TBC
3 Reactions
22 Replies
8K Views
Akihojiwa na Millard Ayo. Nikki wa Pili amesema toka aanze darasa la kwanza, hajawahi kufeli shule.
7 Reactions
153 Replies
28K Views
Vanessa amejitoa baada ya waandaaji kuto timiza masharti ya wali ya makubaliano, vanessa ametoa taarifa hiyo kitia kurasa zake za mitandao ya kijamii
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Kipindi cha FNL kinaendelea muda huu, WCB Ndani ya nyumba Sikiliza sasa akifanya interview
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huenda Jux akawa amemfuta kabisa Trey Songz kwenye orodha ya ma-role model wake tangu ashiriki kwenye wimbo mmoja na Vanessa Mdee na kutengeneza ukaribu usio wa kawaida! Japo ameiongea kwa utani...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Mziki wa bongo fleva umepata umaarufu mkubwa sana Barani Afrika na Duniani kwa ujumla. Kitendo hiki cha mziki wetu kuvuka border kimesaidia sana kuongeza Ajira kwa vijana na kukuza vipato vya...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Habari za kuwepo kwa bifu kati ya Mama mzazi wa Nassib Abduli aka Diamond Platnumz na Zari ambayeni mpenzi wa msanii huyo na Mama wa mtoto wake wa kwanza zilichukua sura mpya. Mwezi uliopita...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…