Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kipindi cha FNL kinaendelea muda huu, WCB Ndani ya nyumba
Sikiliza sasa akifanya interview
Sikiliza sasa akifanya interview
Linah nae kila siku na kuongea kwake kila mara ooh yeah kila sentesi yeahMbn yupo linah sanga??
yani yule ajazoea kuonekana kwenye show iyo muda mrefu ana aibu hivi angekuwepo sam nadhan show ingekuw nzuri zaidi jamaa huwa anajichetua anaendana na mizuka ilibayohitajika mule ndaniDullah anaboa sana,,ni kama amelazimishwa kuwahoji hao wasanii..