Msanii wa miondoko ya hiphop Tanzania,one the incredible awakalibisha kwenye birthday yake

Hawa jamaa wapo hapo hapo kila cku n mwenzao nick mbishi, stereo hamna maendeleo n huo mziki wao cjui hip hop zao zenye punch line wabadilike hip hop nayo imechange
 
Wamekubali kuwa masikini wenye vipaji, tatizo tamaduni music mafani wao wanafiki, wanakazi ya kuwaambia mara hoo wakali, wanaimba hip hop halisi lkn kuwasapoti kununua kazi zao na hata kwenda kwenye matamasha yao hawaendi, wana kazi ya kudownload free net basi. Ila si shangai ukitaka msanii upige ela imba mziki utakao pendwa na wanawake na watoto wadogo lazima uwashike. Ila kubum kubaa hizi utasubiri sana, sasa hivi wanapitwa hata na wale wa singeli akina man fongo na msaga sumu, mpaka wanakuwa na session yao, alafu dizaini singeli huku uswazi imetushika kishenzi.
 
I like the dude,
Kuna baadhi ya wasanii wanakuwepo duniani kwa ajili ya kusikiizwa na watu fulani tu,
Pia uzuri mmoja hawana hata ndoto za kuwa maarufu na kusikilizwa au kuuza kwa kila mtu kama Diamond, wanaamini wanachokifanya.
Na hii ni sababu ya playlist yangu kusheheni nyimbo za Mos Def, Talib Kweli, pharaoh Monch n.k
 
Wamekubali kuwa masikini wenye vipaji, tatizo tamaduni music mafani wao wanafiki, wanakazi ya kuwaambia mara hoo wakali, wanaimba hip hop halisi lkn kuwasapoti kununua kazi zao na hata kwenda kwenye matamasha yao hawaendi, wana kazi ya kudownload free net basi. Ila si shangai ukitaka msanii upige ela imba mziki utakao pendwa na wanawake na watoto wadogo lazima uwashike. Ila kubum kubaa hizi utasubiri sana, sasa hivi wanapitwa hata na wale wa singeli akina man fongo na msaga sumu, mpaka wanakuwa na session yao, alafu dizaini singeli huku uswazi imetushika kishenzi.
Kila kitu kinatoka moyoni.
Wanajua sana kuwa wakiamua kuwaimbia mnachopenda nyie watauza sana na watapata pesa, ila wao wameamua kudeal na wanachikipenda wao na sio mnachokipenda nyie, Nawaheshimu sana watu wenye attitude hizi na hawakulazimishi upende kazi yao kwa ku-force nyimbo zao zipigwe mara kwa mara,
kama wewe ni mpenzi wa miondoko yao utawafata maktaba na dunia nzima wako wasanii wa design hii.
 
Back
Top Bottom