Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania. Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee. Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam. 1.Show ya Tigo Dar es salaam mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya...
16 Reactions
131 Replies
16K Views
Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku...
11 Reactions
137 Replies
15K Views
Kibongobongo ni msanii gani ambaye aana mashabiki wengi zaidi ya wengne mwenye takwim aniambie maana swali hili huwa linanikanganya sana
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na ni mp*mbavu. “Nay hana...
7 Reactions
52 Replies
18K Views
Wakuu Salaam Sana. Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa...
8 Reactions
81 Replies
10K Views
Saida Karoli atanufaika na ‘Salome’ wimbo mpya wa Diamond ambao una vionjo kutoka kwenye wimbo wake wa ‘Chambua kama karanga’ Diamond amesema kuwa mwanamuziki huyo mwongwe wa nyimbo za asili ana...
2 Reactions
76 Replies
18K Views
Nikisikikiza nyimbo za ngwair huwa nashindwa kuelewa kuwa alikuwa anasimamia misingi gani kati ya rap au hip hop.... Cjawai kusikia ngoma ya ngwair yenye misingi kabisa ya zile hip hop kama za...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Baada ya AliKiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music Festival lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefuguka na...
20 Reactions
326 Replies
32K Views
By Daryl Nelson Beanie Sigel sat down with The Breakfast Club to discuss his current beef with Meek Mill, since they’ve been insulting each other in the media for the past couple of weeks...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Who is the best rapper, and who is the most recognized legend kati ya Profesa Jay na Mr II/SUGU!? .., Joseph Haule 'Profesa Jay' na Joseph Mbilinyi 'Mr II/SUGU'.., wote ni rapa wa muziki wa...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
By Theo Bark Chamillionaire once met his hero Michael Jordan, but it didn’t go so well. The Houston, Texas rapper, crossed paths with Jordan at a party for the basketball legend after recently...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu...
2 Reactions
68 Replies
51K Views
Habari, Ali Kiba - Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo Ali Kiba aliwahi kuonesha dharau kubwa kwa mashabiki wao kuwa yeye ahitaji Tuzo...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Hakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Mavazi haya ya kibongofleva mbona yanaelekea pepo za kusi. Anyway namngoja ageuke.
3 Reactions
89 Replies
14K Views
1. SALLAM: 'Alikiba kama amekosea yeye anatakiwa kuomba radhi mashabiki wake na Promota, pia aombe Mungu next time kila kitu kiende vizuri' 2. SALLAM: 'Wakati Alikiba anatumbuiza sikuwepo kabisa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Vanessa mdee ambaye pia ali pafomu Mombassa ametaja sababu iliyosababisha Ali Kiba kuzimiwa mic ni kuwa Chris Brown aliingia akiwa hana mood nzuri, kwa hivyo ili kumfurahisha wale waandaji ikabidi...
4 Reactions
85 Replies
18K Views
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya...
17 Reactions
81 Replies
15K Views
Kijana Baraka kutoka Mwanza ameonesha nyumba yake ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi. Hongera sana kwa hatua hiyo kama kweli ni yako maana wasanii ninyi hamuachi usanii kwa kila jambo.
3 Reactions
101 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…