Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo. Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza; 1...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msanii wa Uganda eddy kenzo asema kuna namna inafanyika kuamua washindi wa mtv mama na si upigaji wa kura maana kwenye kipengele change yeye ndo alikuwa na kura nyingi akifuatiwa na mr. Flavour...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele...
7 Reactions
305 Replies
68K Views
By Paul Meara Hip-hop seems a little itchy lately as everyone seems to have a problem with something everyone is doing. Beefs you never thought would happen, like Meek Mill vs. Beanie Sigel...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Naona ni wakati sahihi wa tuzo zinazotolewa ndani ya bongo waige mfumo wa tuzo za mtv kura si kigezo sana cha msanii kushinda tuzo ukiangalia hapa bongo ndo tunachobugi Mfano kwa bongo wasanii...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
'number don't lie' , kuna ubishani wa muda muda mrefu baina ya diamond na ali kiba huku kila shabiki akivutia upande wake, zifuatazo ni takwimu za ulinganifu baina ya alikiba na diamond
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ilikuwa ni patashika katika lile jiwanja bora kabisa la ndege barani Afrika yaani Julius nyerere airport pale mmiliki wa vyombo vya habari vinavyobamba downtown bwana le mutuz alipoonekana na...
8 Reactions
37 Replies
8K Views
Wadau naomba tutabiri vichwa vya habari vya kesho magazetini hasa yale ya rangirangi.. Mimi naanza na hivi. 1.Simba ala nyasi,,ashindwa kujizuia aangua kilio ukumbini baada ya kukosa tuzo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana tumeshuhudia utolewaji wa tuzo kuwa kabisa barani Afrika za MtV MAMA award, ambapo Kwa Mara ya kwanza wasanii wengi kutoka Tanzania walitajwa kuwania tuzo hizo. Lakini cha ajabu na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkongwe huyo wa mziki ameyasema maneno hayo katika kipindi cha MY PLAYLIST knachotushwa na clouds tv, aidha amesema kuwa Alikiba ni mwanamziki anaejielewa, mwenye sauti nzuri na anejua kuitumia...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari za hapa wakuu, kuna hii kitu imesumbua fikra za watu wengi sana. Nikaona Leo niilwte humu tujuzane kwa kina! Kuna wimbo ameimba dully Sykes na huyu dogo Harmonize, sasa inasemekana sana...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakati Jana utoaji wa tuzo za MTVMama ambazo zimetolewa Afrika Kusini na ambazo hakuna Mtanzania hata moja aliebeba tuzo ,usiku huo huo wa Oct 22 kuamkia Oct 23 nchini Marekani kulikua pia...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani.: AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani. - millardayo.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Apo chacha!! Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali. Ukweli wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen kutoka kwenye kiwanda cha Bongo...
7 Reactions
295 Replies
68K Views
Ali Kiba kafanya interview na mzazi Willy Tuva kuhusu tuzo za MTV leo na ametoa onyo kali sana kwa watu wenye tabia ya kuzima mic wakati anafanya yake jukwaani. Ali Kiba amesema kuna uwezakano...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Hatutaki teams....team kiba sjui team diamond, team zari, team esma, team sandra, team mobeto, team wema,..team jokate,, shiwalandu sjui what what...hatutaki,, hatutaki uswahili,tufanye kazi na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Usiku wa jana Tuzo za MTV mama Zilitolewa huko South Africa! Wanigeria waliibuka vinara baada ya kuchukua tuzo nyingi kuliko nchi yoyote Afrika! Na zile tuzo kubwa zote zilienda Nigeri kama Best...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HIVI NDIVYO HALI HALISI ITAVYOKUWA JK:MTANIKUMBUKA
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki takribani siku 4 kufanyika kwa tukio kubwa la kihistoria la tuzo za Mtvmama 2016, Huu ufuato ni utabiri wangu juu ya washindi wa tuzo hizo. 1.Best Male Artist - Wizkid (,Nigeria)...
6 Reactions
94 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…