Kweli kabisa kaka, kila msanii aweke malengo yake na atumie kipaji chake sawa na Mungu alivyomjalia, kuhaha ili kushinda tuzo sio sehemu ya malengo sahihi..kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo