Iko wapi sasa?
-Nyerere-
Hajaenda studio bado.. Ila verse zote ndio anamalizia kuziandikaBado iko studio nadhan
Kiba hafai kabisa!
Hii biti ya siyo ya kitoto!
Huyu Jamaa kama akiendelea hivi
Mwakani anachukua TUZO ZA KUFA MTU
Halafu mshikaji anajua kubembeleza watoto!
Big up sana
Msikilize Jamaa anavyolilia
Msikilize Jamaa anavyolilia
Hiyo sijaisikia labda hii averina ni kolabo bora kabisa kufanyika chini ya jua tangia alikiba arudiHii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine wataiga mfano huu.