Kabla ya Kujiita jina hasa kwa kuiga tafadhali jua maana yake: Maana ya jina la DIVA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla ya Kujiita jina hasa kwa kuiga tafadhali jua maana yake: Maana ya jina la DIVA

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Raiamwematz, May 31, 2012.

 1. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  KABLA UJAJIITA JINA JITAIDI UJUWE MAANA YAKE WASICHANA WENGI SANA WANALIPENDA ILI JINA DIVA UTASIKIA IM THE DIVA... ==DIVA===MUNGU WA KIKE ==SOMA KWA MAKINI SANA ALAFU USIJIITE TENA ILI JINA !!!

  Leo ningependa kuongea kuhusu kitu kimoja ambacho ninakiona kikiendelea kuchanua na wakati kinaonekana kuwa kibaya na kisichokuwa na msingi hasa katika maisha ya wanadamu. Ningependa kuwaambia wasichana kitu kimoja, kwa wale waelewa, watanielewa ila kwa wale ambao hawataki kuelewa, hawatonielewa na wala sitotaka kuwalazimisha kunielewa. Kila siku wasichana wamekuwa watu wa kujipa majina mbalimbali kama cute, pretty na majina mengine mengi. Ni vizuri kwa sababu kila mtu anatamani kujipa jina ambalo litakuwa kama alama yake ya kumfanya kujulikana.

  Hakuna tatizo kwenye kujipa majina ila yawapasa kuangalia majina yenyewe. Kwa leo nitakwenda kulitafsiri jina liitwalo ‘DIVA' ambalo kila siku wasichana wamekuwa wakilipapatikia sana. DIVA ni jina la Kilatini ambalo lina maana ya MUNGU WA KIKE. Katika kipindi cha nyuma, jina hili halikuwa likijulikana kabisa kwa wasichana wa Kitanzania mpaka pale muimbaji mahili, Beyonce alipoanza kulitaja katika wimbo wake ule wa DIVA. Wasichana wengi wamelichukulia jina hili kuwa jina la kawaida sana ambalo linaweza kutumika kwa msichana yeyote mrembo ingawa si kweli. Huku nikiendelea kutoa ufafanuzi naomba ujiulize swali moja. Wazungu wamekuwa watu wa kuchukua majina mengi tu ya masupastaa na kujipachika wao. Hivi haujawahi kujiuliza hata siku moja sababu zinazowapelekea wasichana wa Kizungu kutojipa jina hilo la DIVA? Wanajua maana halisi ya jina hilo na chimbuko lake na ndio maana hata hawataki kulitumia. Najua wengi watakuwa wanafahamu kwamba Beyonce amekuwa mwanachama mmoja wa dini inayompinga MUngu ya Freemason. Nani ambaye hafahamu hilo?

  Kama haufahamu, ngoja nikwambie kitu kimoja ambacho kitakufanya kujua kwamba yeye ni mwanachama halisi wa Freemason. Nitakwenda kukufafanulia hili kwa kupitia video fulani ambayo innaitwa THE WICKED MUSIC INDUSTRY. Ndani ya hii video wamejaribu kutaja alama mbalimbali za Freemason pamoja na kumtaja Bathomet, mungu wa dini hii ambaye amekuwa akiwapa utajiri na umaarufu mkubwa duniani. Jina la mwanamuziki huyu ni BEYONCE GISELLE KNOWLECE ambaye kwa mara ya kwanza alianzia muziki wake kanisani. Alianza kuimba nyimbo za kawaida ambapo kukampatia sana umaarufu alipokuwa katika kundi la Destiny Child. Baada ya kujitoa katika kundi hilo, wimbo wake wa kwanza kabisa kuutoa kama msanii anayejitegemea ulikuwa ‘CRAZY IN LOVE'. Najua video ya wimbo huu utakuwa umeuangalia sana lakini nina uhakika video halisi ya wimbo ule utakuwa haujaelewa kitu chochote kile. Video ile ilitengenezwa kwa kuyazungumzia maisha yake ambayo aliamua kuishi kwa wakati huo.

  Itafute video ile na kisha iangalie tena. Kuna scene ambayo inaonyesha kwamba Beyonce yupo ndani ya gari akiangaika na kisha Jay Z akalichoma moto gari lile na yule Beyonce wa ndani ya gari kufa baada ya gari kulipuka. Hapo hapo, Beyonce akaonekana akitokea upande mwingine na kumfuata Jay Z mahali pale na kuanza kucheza nae huku Jay Z akianza kuimba. Nani ameielewa scene ile ilimaanisha nini? Kwa kuangalia tu huwezi kugundua kitu chochote kile ila nitakuelezea hapa ili uweze kuelewa vizuri zaidi. Hapa Beyonce alijaribu kutueleza kwamba Beyonce yule wa zamani alikuwa amekufa garini na sasa alikuwa amekuja Beyonce mwingine. Kuanzia siku hiyo ndio ilikuwa kwa mara ya kwanza Beyonce kujipa jina jingine liitwalo SASHA FIERCE.

  Nikijaribu kukuleta nyuma katika mahojiano yake na gazeti la PEOPLE la nchini Marekani tarehe 18/11/2008, Beyonce alisema hivi "Shasa Fierce alizaliwa katika kipindi ambacho nilifanya video ya CRAZY IN LOVE. Watu wanapokutana nami wanategemea kumuona Beyonce ila inabidi watambue kwamba mtu huyu (Sasha Fierce) ni mtu wa stejini. Ukijaribu kuiangalia video hiyo hiyo ya CRAZY IN LOVE utaona kwamba mtu ambaye alimuua BEYONCE garini alikuwa JAY Z. Nani ambaye hajui kwamba JAY Z ni mwanachama wa dini impingayo Mungu ya Freemason? Kwa maana hiyo JAY Z ndiye aliyemuua BEYONCE kama kwenye video yake inavyoonyesha na SASHA FIERCE kuzaliwa (Jaribu kuiangalia video hiyo kwa mara nyingine tena na uifuatilie). Kwa wale ambao hawakuwa wakifahamu jina ambalo JAY Z amekuwa akipenda kujiita basi ni lazima wajue kwamba jina hilo ni HOOVA. Ukisikiliza nyimbo zake nyingi amekuwa akipenda kujiita jina hili mara kwa mara. Jina hili si la kawaida, hapa anatuonyeshea kwamba amekuwa akijaribu kujifananisha na MUNGU kwani jina jingine la MUNGU ni JEHOVA.

  Kwa akili yake kwa sasa anajiona yupo juu huku akiwa na mamlaka ya kufanya lolote lile alitakalo kulifanya na ndio maana amejipa jina hilo ambalo kama hauko makini kamwe hauwezi kuligundua. Kwa kuwa BEYONCE aliona kwamba mtu ambaye alikuwa nae katika mahusiano ya kimaenzi anajiita HOOVA hapo ndipo nae alipoamua kujiita DIVA yaani likiwa na maana ya mungu mwanamke. Kwa maana yao hapo ni kwamba JAY Z ni mungu wa kiume na BEYONCE ni mungu wa kike???.. Nikikurudia wewe ambaye umelichukua jina hilo la DIVA, ulikuwa ukilijua maana halisi ya jina hilo? BEYONCE hakutaka kuficcha na ndio maana akatoa wimbo wa DIVA ambapo alijiita rasmi ‘I AM A DIVA'. Hiyo ndio maana halisi ya jina hilo na ndio maana kila ninapomuona msichana wa Kiafrika anajiita DIVA huwa ninashangaa na kushtuka sana.

  Kama wewe unajiona kuwa ni mungu wa kike, basi jina hilo linakufaa sana ila kama unajiona kwamba wewe si mungu wa kike, achana nalo kwani majina mengine kama hayo yanakuwa na nguvu za giza. Hiyo ndio sababu inayowapelekea wasichana wa Ulaya kutotaka kujiita jina la DIVA kwani maana yake inajulikana na kila mtu.
   
 2. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Mkuu ni kweli unayoyasema, hiyo documentary niliiona jana, jamaa ameielezea vizuri mno na mifano ya kutosha na moja ya kitu kilichonisisimua ni Pale Michael Jackson alipomwita meneja wa Sony music company enzi hizo kuwa ni devil na jinsi familia ya Michael Jackson ilivyomtoa kafara
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sasa najua ndio maana huyu dada mapepo yanamuandamana kila kukisha.
   
 4. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hee makubwa,habari yako naidesa naipeleka fesibuku tafadhali
   
 5. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,823
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Tobaaaaa
   
 6. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,224
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  NAMQUOTE WAUNGWANA I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  Stop the track, let me state facts
  I told you give me a minute and I'll be
  right back
  Fifty million round the world
  And they said that I couldn't get it
  I done got so sick and filthy with Benji's,
  I can't spend
  How you gone be talkin' shit?
  You act like I just got up in it
  Been the number one diva in this game
  for a minute
  I know you read the paper
  The one that they call a queen
  Every radio round the world know me
  'Cause that's where I be
  I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  When he pull up, wanna pop my hood
  up
  Bet he better have a six pack in the
  cooler
  Getting money, divas getting money
  If you ain't getting money then you ain't
  got nothing for me
  Tell me somethin' where your boss at?
  Where my ladies up in there that like to
  talk back

  I wanna see ya, I'd like to meet cha
  What you said, she ain't no diva
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  Since fifteen in my stilettos been
  struttin' in this game
  What's your age? Was the question they
  asked when I hit the stage
  I'm a diva, best believe her, you see
  her, she getting paid
  She ain't callin' him to greet her, don't
  need him, her bed's made
  This is a stick up, stick up
  I need them bags, uh, that money
  A stick up, stick up
  You see them ask, where that money?
  All my ladies get it up
  I see you, I do the same
  Take it to another level
  No passengers on my plane
  I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva, hey
  I'm a, I'm a, a diva
  This is a stick, up stick up
  I need them bags, uh, that money
  Stick up, stick up
  You see them ask where that money
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  Na, na, na, diva is a female version of a
  hustla
  Of a hustla, of a, of a hustla
  I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva
  I'm a, I'm a, a diva, I'm a, I'm a, a diva,
  hey
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nimetua pabaya:flypig:
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa ufafanuzi mzuri wa jina Diva,naomba kujua maana ya jina langu la Igwe.

  Natanguliza shukrani.
   
 9. b

  bigbumper Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alaa kumbee!
   
 10. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Alaa, kumbee.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  mh makubwa,tatizo letu wabongo ni kuiga iga tu bila kujua maana au madhara!
   
 12. n

  najua JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aisekama ni kufurahisha genge poa. ila diva kwenye oxford dictionary haisemi hivyo hata ukisoma wikipedia haiielezei kihivyo umavyolazimisha.kama unasema hoova kwa jay z ni kujifanani na mungu vipi akina godfrey. godbless na wenyewe ni mafreemanson kwasababu majina yao yana God
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaaaaaaaa............watu kwa fix hamjambo!!
   
 14. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Diva maana yake ni msanii wa kipekee wa kike katk uiambaji au uchezaji sinema. Distinguished,celebrite female singer,actress,prima donna.
   
 15. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa maelezo.
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana Yesu aliwahi sema hivi Kila neno lisilo maana watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo katika siku ya hukumu.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 17. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Hivi vitu ukiviamini sana vitakusumbua mawazo.

  Mbona kuwa wengi tu wanaitwa God nayo utasemaje??
  Kuna watu wengi wanaitwa angel nayo ni vibaya??
  Kuna watu wanaitwa Jesus/Yesu nayo utasemaje?
  Kuna wengi tu wanaitwa Mohamed na hapo je?
   
 18. S

  Singo JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mmepewa masikio , macho ya kuona na akili ya kufahamu jema ama baya. ashupazae shingo , ghafla ataivunja
   
 19. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  We lotion ya kopo a.k.a Nivea.. Unajua hcho kinembo unachotumia ni cha Friimason..??
   
 20. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Umeenda vizuri sana, lakini hapo kwenye Mohamed sasa... Ni jina la kawaida mno! Au we unalichukuliaje!?
   
Loading...