Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Jay Prayzah ashinda tuzo ya "MOST FASHIONABLE MUSIC VIDEO" Katika tuzo za "Style Oracle Awards-2016" Nchini Zimbabwe.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ma bibi na bwana nawalika kuja kuangalia video ya mziki mzuri na mtamu toka Asley uitwao Pusha. Hii ndo bongo fleva kuanzia uimbaji hadi beat. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
3K Views
MSAAD KIDOGO. HIZI NYIMBO ZIKITOKA MWAKA GANI. DIAMOND FT GEEZ MABOVU NGWAIR...JISACHI. GODZILLA FT DIAMOND...MTOTO WA KIUME. TOPBAND FT BLUE...NILIKATAA GODZILLA FT ALIKIBA..MILELE
0 Reactions
1 Replies
218 Views
  • Redirect
Aise hii ngoma ni hatari sana maana ina ubunifu wa hari ya Juu sana. Aise hii ngoma nimeicheki muda huu kwa TV ni moto wa kuotea mbali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
Replies
Views
Kama ilivyo ada kuwa upatapo mtoto ni lazima umpatie jina, lakini wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina pasi na kuwa na sababu ya kwanini wanafanya hivyo. Lakini hii ni tofauti kwa msanii...
2 Reactions
20 Replies
10K Views
Kama wengi tunavyojua competition imekuwa kali mno kwenye muziki wa Tz kitu kinachofanya kazi za wasanii wetu kufanya kazi kwa ubora zaidi, siku zote kufeli ndio mama wa kufaulu, wasanii wengi...
0 Reactions
37 Replies
17K Views
Huyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza: 1. Twenzetu - Chegge 2. Salome- Dully sykes 3. Mabinti wa Kitanga- Bwana Misosi 4. Barua -...
10 Reactions
156 Replies
36K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa: Mcha Mungu. Anayewajali na kuwastahi watu. Anapenda haki na kuwajali wanyonge. Mkweli wa maneno na matendo. Ana uwezo wa kuongoza na upeo...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wimbo mpya wa kaka mkubwa kwenye gemu AY zigo remix iliotoka jana video yake, nimeona mabadiliko kwa Diamond amerap kidogo na nyimbo ameinogesha. Kazi nzuri kwa vijana wetu.
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa imepost picha ya ay na diomond wakionyesha wamefanya video ya zigo remix. wameandika zigo remix AYTanzania x diamondplatnumz
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Michael Kalinda aka Ziggy Wine who died at Mulago National Referral Hospital in Uganda. PHOTO | COURTESY Yet another close associate of Ugandan opposition politician, Robert Kyagulanyi aka Bobi...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Refer the heading above Kama mnavyojua Bob Marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji...
1 Reactions
62 Replies
9K Views
Hivi karibuni Diamond Platnumz alilazimika kuahirisha ziara yake ya barani Ulaya baada ya waandaaji kushindwa kukamilisha kumlipa hela yake ya advance katika muda muafaka. Inadaiwa kuwa katika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mke wa Rais, mama Salma amekuwa akifanya ziara katika mikoa mbalimbali hapa nchini na kupokelewa na viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa. Je, ana cheo gani kitaifa hadi kupokelewa rasmi hivyo. Je...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wadau wa Celebrities !!. Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa...
5 Reactions
122 Replies
18K Views
ILIKUWA LEO ASUBUHI MUDA WA SAA NNE HIVI KWENYE KIPINDI CHAO CHA SUPER MIX. MARA WAKAWEKA BONGO FLAVA YA MSANII ALIYEIMBA MUHOGO WAKO MTAMU NA ANDAZI WEEE KWA HAMIRA. WIMBO ULIPOISHA WAKAANZA...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
26 Reactions
404 Replies
20K Views
Naombeni mlio mjin apo mtujuze mana simskii tena kwenye kipind chake cha Asbh pale EAradio..Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ebana huyu mchizi anaweza sana hiki kipindi cha Uswazi, Zembwela we mbaya. Big up Zembwela. ---------------- Mtangazaji wa kipindi cha redio HOTMIX na television USWAZI vinavyorusha na EATV...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Back
Top Bottom