Ziggy Marley Vs Damian Marley Vs Stephen Marley Vs Kymani Marley Vs Julian Marley who is the best?

themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
174
316
Refer the heading above

Kama mnavyojua Bob Marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji viwili nilivyovitaja mfano Rohan Marley mume wa Lauryn Hill wa Fugees alikuwa famous American Football Player (NFL) ila kwa hawa maarufu ni Kymani Marle, Ziggy Marley, Damian Marley, Stephen Marley and Julian Marley who do you think is the best and angekuwa kama alivyo bila hata ya surname ya Marley?

Remember all of them I mean Bob Marley's children and grandchildren are multi millionaires
 
Labda niseme kitu.

Marley brothers wanakuwa bora kwa muunganiko wao pamoja.

Vile naona mitazamo hii inaleta utengano wala haisaidii chochote kuonyesha nani bora.

Ragga anafanya vizuri. Sikiliza No cigarette smoking in my room, Ina di red, Lonely Avenue, na cover song alizofanya za Mzee wake.

Lakini pia msikilize Jr Gong.

Na hapa niseme tu sikiliza Speak life. Maneno mazito, ni noma.

Kila mtu anampenda Damian.

Lakini Damian pekeyake atafanya nini kwenye Kaya Festival bila Juju, bila Ky-man, bila Ziggy, bila Ragga?

Hawa wote ni leaders....on their own right.

Tuwasheherekee wote.

Nimeona watu wanawapambanisha.

Kama vile unakuta watu wanaulizana Bob na Peter nani zaidi?

Zaidi ni RASTAFARI ambapo Damian, Ragga, Ziggy, Juju, Ky-man, Ninja man na Rohan wanaamini na kufuata njia hii
 
Naomba nikite kambi. Ni aibu kufananisha watu hawa. Naona haya nimchague nani nimuache nani. Btw Tuff Gong Jr. Is the best, simaniishi wengine hawajui. Distant Relatives Project was the best. And Patience is the most outstanding track of Damian, Ila

Medicatiiiiiiiiiiiiiion, medication makes me high.
 
Hapo bila shaka mkali ni Jr Gong
Ila hao jamaa kuwashindanisha siyo sahihi
Tuendelee kufurahia mziki wao
 
Write your reply...junior taff gong ni hatari asee ziggy dizaini kama kazubàaa cause yuko kwenye game muda mrefu ila hajafanya mambo makubwa kama ya damian junior taff gong
 
refer the heading above kama mnavyojua bob marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji viwili nilivyovitaja mfano rohan marley mume wa lauren hill wa fugees alikuwa famous american football player (NFL) ila kwa hawa maarufu ni kymani marle,ziggy marley ,damian marley ,stephen marley and julian marley who do you think is the best and angekuwa kama alivyo bila hata ya surname ya marley?

remember all of them i mean bob marley's children and grandchildren are multi millionaires
Tatizo wengi mnalinganisha mziki wao wa sasa, au zamani kidogo bil KUJU kuwa Ziggy Marley ndiye mrithi hasa wa Bob Marley na kaimba mziki miongo kadhaa, na anaendelea kudhihirisha u.legend wake. Hayupo wa kumlinganisha naye ktk Bob Family.
 
bobomarley alimp
Labda niseme kitu.

Marley brothers wanakuwa bora kwa muunganiko wao pamoja.

Vile naona mitazamo hii inaleta utengano wala haisaidii chochote kuonyesha nani bora.

Ragga anafanya vizuri. Sikiliza No cigarette smoking in my room, Ina di red, Lonely Avenue, na cover song alizofanya za Mzee wake.

Lakini pia msikilize Jr Gong.

Na hapa niseme tu sikiliza Speak life. Maneno mazito, ni noma.

Kila mtu anampenda Damian.

Lakini Damian pekeyake atafanya nini kwenye Kaya Festival bila Juju, bila Ky-man, bila Ziggy, bila Ragga?

Hawa wote ni leaders....on their own right.

Tuwasheherekee wote.

Nimeona watu wanawapambanisha.

Kama vile unakuta watu wanaulizana Bob na Peter nani zaidi?

Zaidi ni RASTAFARI ambapo Damian, Ragga, Ziggy, Juju, Ky-man, Ninja man na Rohan wanaamini na kufuata njia hii
a mwanae jina lenye asili ya kenya yaani kimani but wenyewe wanaiandika ky-man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom