Zigo Remix: Wimbo mkali wenye video kali

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Wimbo mpya wa kaka mkubwa kwenye gemu AY zigo remix iliotoka jana video yake, nimeona mabadiliko kwa Diamond amerap kidogo na nyimbo ameinogesha.

Kazi nzuri kwa vijana wetu.

nyimbo mpya ya kaka mkubwa kwenye gemu AY zigo remix iliotoka jana video yake, nimeona mabadiliko kwa diamond amerap kidogo na nyimbo ameinogesha. kazi nzuri kwa vijana wetu, najaribu kuipandisha hapa inanigomea
✔Song(Wimbo)- Singular
Songs(Nyimbo)-Plural

✔Diamond kauongezea ladha upo vizuri.
 
Ana rangi furani ya kimangaa,
lugha lafudhii ya kitangaa
usiombee kapita na kangaaa
nyumaaa figisu majangaaaa
na mwendo wa kung'onyaaa
tena alivoshona umbo Kama katuni wa kuchoraaa
singida Dodoma kitandani sodoma
kiuno Kama nyuki dondoraaaa

**********
mtoto yani mukiidii mukideee
mpaka najishigii shigideee
asakiii hikidiii hikideee
yeye ndo mama chibudiii chibueee

Diamond Anabadilika sana aisee, naona kaamua kurap kuonesha kwamba yeye ndio mfalme wa soko la afrika kwa sasa.
 
dah,inaonekana ni katamu aka karemix ee...ngoja nikipata nafasi nikatafutage kidogo.
kideo vipi kimetulia?
 
nimeona interview ya AY youtube kumbe hadi Wizzkid alitaka fanya remix ya Zigo!! asee legends are just legends. AY bado ako hapo top man
 
Mond abadilike bhana kubana pua hadi kero na nywele chafu Kbs af AY aangalie watu wa kufanya nao kaz huyo dogo km kamchukulia poa sana AY.
 
Mond abadilike bhana kubana pua hadi kero na nywele chafu Kbs af AY aangalie watu wa kufanya nao kaz huyo dogo km kamchukulia poa sana AY.
mondi kavunja poa ila nadhani hajajua hii hit inaweza mnyanyua mbaya
 
Mond abadilike bhana kubana pua hadi kero na nywele chafu Kbs af AY aangalie watu wa kufanya nao kaz huyo dogo km kamchukulia poa sana AY.
"wabana pua" ndo jina nyengine la mziki wanaofanya watu kama kina chibu...we ulitakaje kwani?
 
Huyo SIMBA ni hatari tupu..

Tofauti na kuinyonga audio, kwenye video huwa ana vitu flani hivii adimu..

Ana rangi flani ya kimanga,
Lugha lafudhi ya kitanga,
Usiombe akapita na kanga,
Nyuma figisu majanga,
Ana mwendo wa kungonya,
Tena alivyoshona,
Kiuno kama katuni wa kuchora......
Maneno ya watu sumu ya na hilaa..... Nakula kwa macho

Much respect AY, hii ngoma itaenda mbaali sana...
 
Wimbo mpya wa kaka mkubwa kwenye gemu AY zigo remix iliotoka jana video yake, nimeona mabadiliko kwa Diamond amerap kidogo na nyimbo ameinogesha.

Kazi nzuri kwa vijana wetu.

Yap! Bonge la dude, ndio nimeusikia sasa hiv kwa mara ya kwanza imenibidi niutafute niupakue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom