Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nakumbuka miaka ya zamani lulu nae alikua hivi hivi hashikiki, kila club yeye, kila rafiki yeye, mtoto alikua hashikiki mpaka mama yake akainua mikono, lulu anatoroka kwao usiku wa manane anaenda...
30 Reactions
129 Replies
25K Views
Angekuwa ndio wife wako sijui
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube Baaadhi ya mashabiki...
2 Reactions
123 Replies
15K Views
Afande Sele amefunguka na kusema kama jambo hili litafanywa kwa haki na umakini basi huenda hata wale wasafi wakaonekana ni wachafu. Afande Sele ameonyesha wasiwasi juu ya sakata hili la madawa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
The hottest thing in the TV lately, has been The New Edition Story(yeah I speak for myself). The mini-series released on BET, are telling stories that would make most rappers jealous. I used to...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Safari hii inaweza ikawa ni bad timing kwa mwanamuziki mashuhuli Africa, diamond platinum, baada ya hivi karibuni kuachia video ya wimbo wake mpya huitwao Marry me aliomshirikisha mwanamuziki...
6 Reactions
70 Replies
17K Views
Diamond platnumz ashinda tuzo za Hipipo Awards 2017. Ameshinda categories mbili 1.QUINQUENNIAL AFRICA MUSIC VANGUARD AWARD (2012-2016) 2.BEST VIDEO EAST AFRICA-SALOME.
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Bado jina la msanii ben pol linatawala maskio ya wapenda burudani hasa ya muziki, baada ya kufanya vizuri mwaka uliopita na ngoma yake ya Moyo Mashine na akaja kushirikishwa kwenye wimbo wa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Katika kupitia station tofauti tofauti, nimeshtuka kusikia sauti ya George Bantu ndani ya Clouds. Huyu jamaa alikuwa EA Radio. Leo ndio namsikia upande huo. Ila nimeshangaa naye ameshaanza...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Habarini Wakuu, Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu" Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi? Aliigiza filamu ya mwisho lini? Aliwahi kutoa...
9 Reactions
77 Replies
7K Views
Yaani hawa jamaa siwaelewagi elewagi,lifestyle zao mbona zimekaa kimombasa mombasa sana? Hivi nini hasa kinawapa 'ustaa' hawa jamaa maana naona wanatokeatokea sana kwenye muvi za Wema na Diamond
2 Reactions
52 Replies
15K Views
Mwanadada machachari Vanessa Mdee ametajwa katika msururu wa watuhumiwa wa mihadarati pamoja na Tunda ambaye ni kidate cha mtuhumiwa mwingine Young Dee. Mwaka jana ilikuja thread hapa JF...
11 Reactions
70 Replies
13K Views
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa bongo flavour jina la pfunky Bila shaka Lina heshima kubwa kutokana na kuwa mmoja kati ya maproducer wa awali wa muziki huo na amewaibua wasanii wengi huku akichangia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Aisee huyu bwana mdogo harmorapa naona anazidi kusaka umaarufu kwa nguvu kupitia mgongo wa WCB Hilo limejidhihirisha kwa kwa kupost pesa zake mtandaoni na wengi wametafsiri kuwa ni dongo kwa...
5 Reactions
60 Replies
14K Views
Habari wana-JF Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wanaJukwaa, Huku baadhi ya wanaoitwa Maselebriti wakitakiwa kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa leo kwa tuhuma za kuuza na kutumia Ngada, basi ni vyema tukawasindikiza kwa Kichupa kikali kutoka...
14 Reactions
139 Replies
15K Views
Dili la Tekno na kampuni ya Sony Music inawafanya wanaijeria wengi kuamini kwamba Tekno ameiuza nafsi yake kwa shetani kwa kusaini mkataba huo.(The deal means Tekno has sold his soul to the devil)...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Kupitia mitandao kadhaa ya kijamii na uthibitisho wa picha kupitia account ya IG ya bwana harusi Petit man wakuache imethibitika kuwa wawili wamefunga ndoa siku ya leo. Esma Platnum ambae ni dada...
3 Reactions
65 Replies
19K Views
Wema Sepetu amezindua rasmi app yake, WS, kwenye jukwaa la app la simu za Android, Google Playstore. App yake inapatikana bure kabisa. Ukishainstall, itakuomba usign-up kwa kutumia akaunti yako ya...
11 Reactions
90 Replies
12K Views
Hivi wasanii tanzania wana chama chao?Kama kipo kitoke na tamko juu ya tuhuma hizi za madawa.Hii ni kashifa kubwa.Mnaweza kuona ni swala la Wema na wenzake lakini swala hili linaharibu na kuchafua...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…