Mabadiliko: Ray C wa sasa na Ray C wa zamani

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Angekuwa ndio wife wako sijui

lyzs2mhgdwr9j3h9h5588acf047112f.jpg
 
Namwombea kwa MWENYE ENZI MUNGU ashinde majaribu..
 
Kipindi cha Nyuma kabla kimwana huyu hajaanza kula Unga wa ngano.
Ulikuwa ukimtazama Mashalaah,kimoyoyo unasema amakweli Maanani hakosei,Mtoto jicho linakwita ,kiuno nyonga akudo impact wote mikono chini.

Mahaba ya dhati yalinishukia juu yake,bahati Mbaya kilio changu hakikusikika.

Mola amujalie maisha marefu yenye furaha na Amani.
 
Wabwia unga noma wameitumia sana "papuchi" yake,bila maslai wamemuachia "korongo" tu hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom