Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Hivi wasanii tanzania wana chama chao?Kama kipo kitoke na tamko juu ya tuhuma hizi za madawa.Hii ni kashifa kubwa.Mnaweza kuona ni swala la Wema na wenzake lakini swala hili linaharibu na kuchafua tasnia yote ya sanaa.
Huu ndio wakati wa kuonyesha mnayo taasisi imara inayoweza kutoa tamko juu ya tuhuma hz za wasanii kujihusisha na biashara haramu ya unga.
Huu ndio wakati wa kuonyesha mnayo taasisi imara inayoweza kutoa tamko juu ya tuhuma hz za wasanii kujihusisha na biashara haramu ya unga.