AFANDE SELE: Kama Makonda yupo serious huenda hata wale Wasafi wakaonekana Wachafu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Afande Sele amefunguka na kusema kama jambo hili litafanywa kwa haki na umakini basi huenda hata wale wasafi wakaonekana ni wachafu.

Afande Sele ameonyesha wasiwasi juu ya sakata hili la madawa ya kulevya ila amesisitiza kuwa kama kweli litafanyikwa kazi kwa umakini mkubwa basi kuna kundi kubwa la watu ambao wanaonekana ni wasafi kuchafuka kutokana na sakata hili.

"Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya unga kama kweli braza Paul yupo 'serious' na sio 'Matango Pori'kama tulivyoona katika masakata mengine, huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu...kila la kheri Mr Paul....RiP dada Amina...wacha party ianzeee" aliandika Afande Sele

Kauli hii ya Afande Sele imekuwa ni kauli tata na imeibuka mjadala kwa baadhi ya mashabiki katika kuitafsiri wengine wakisema Afande Sele amezungumzia wasanii ambao wapo chini ya label ya WCB Wasafi chini ya Diamond Platnumz huku wengine wakisema amezungumzia watu ambao wanaonekana ni wema katika jamiii kumbe si wema bali ni wachafu kwa matendo yao kwa kujihusisha na biashara za dawa za kulevya.

Chanzo: EATV
 
Wacha nijikite penye neno wasafi ni hali ya mtu kuwa hana doa au makandokando katika kazi na mwenendo wake mzima wa maisha sasa hili la kusema kuhusu label ya wasafi tunakuwa tunalitania hili neno au mwandishi kaamua kuitaja tu label hapa?
 
Ikitangazwa vita ya mmea hawezi pona
Kwa akili zako vita dhidi ya jani ikitangazwa kuna mtu atapona hapa?tena usilitie mikosi jani mkuu na wala usilitaje taje utasababisha ghasia kubwa nchini yaani mtu ukatize (God forbid)siku au wiki nzima bila jani si tutachanganyikiwa!
 
a309499febaccbeb00338b09e4e7d4c6.jpg
 
Hata wale WCB wasafi lazima pafyumu ya ukurutu iwahusu pamoja na chawa wa digital.
 
Kaongea ukwel unaona mt anasukuma Hummer anaspend then hakuna office hata mja yake inayojulikana kwann asiwe suspect? Na ukichunguza kwa umakin nimlanguz ila anachofanya mk n kwamba anatafuta kwanza pa kuanzia kwan hata el chapo alitafutwa miaka ming but alipokamatwa hata pa kuhemea maana ushahid upo wa kutoshaa
 
Back
Top Bottom