Leo katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za kijana wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za kijana huyo ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu kijana...
Aman iwe wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Habali kamili
Msanii wa kizaz kipya wa bongo freva mwenye stail ya kufoka foka roma mkatoliki wa vatican amedai yeye siku...
Mpaka Vazi la Spika wanashonea uingereza!! Utumwa wa mawazo huu, washonaji wa kitanzania hawapo, na hizo pes zote hizo?
Wakati huo huo, Bw. Sitta, aliwafahamisha wabunge kuwa jana alikuwa...
kama hilo bichwa hapo juu linavosema sitaki nikwepesh kwepeshe maneno ni mda sas nimekuwa nikijiuliza juu ya wasanii wetu wa hapa tz katik mtandao wa instagram ni vigumu sana ukiweka comment kweny...
Sisi wadau wa ROMA mkatoliki msanii wa Hip Hop tunatamani sana kusikia na kuona Ngoma mpya kutoka kwako.
Kwa matukio yalivyo sasa naamini una mengi ya kuyazungumzia kwa Kuangalia uongozi wetu wa...
Homa ya pambano la wana masumbwi Manny Pacquiao na Jeffrey Horn au Hornet kama anavyojulikana na mashabiki linazidi kupamba moto kila kukicha
Jeff ametamba kumsambaratisha Pack mapema sana kwa...
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya...
Wana ndugu leo nataka tumdadavue huyu mchekeahaji kutoka Kenya,Ndg Erick Omondi .
Huyu jamaa kwa kweli huwa nashindwa kumuelewa ,hivi kwa nini anapenda kutufatilia fatilia sana Watz na sio raia...
Habari wadau,
Msanii Ali Kiba ameongeza mtoto wa tano kwa mama tofauti. Mzazi mwenzie huyo kwa sasa (single mother) ni mkazi wa Mombasa na anadai alipewa ujauzito kipindi Ali Kiba anapiga show...
Rapa kutoka Weusi Kampuni, Joh Makini amefunguka kuwa kampuni yao kwa sasa haina ushamba tena kwenye muziki kwa kuamini kuwa video ndiyo inaweza kukuza muziki wao na kuwapeleka sehemu kubwa zaidi...
Mtandao wa Bongo 5 nimekuwa nikiufatilia sana na ni moja ya mitandao ya muda mrefu hapa nchini unaomilikiwa na wanandoa wawili Lucas Neghest na Nancy Sumari.Wamiliki hawa walithubutu na wakaweza...
Mchezaji wa Real Madrid kapata watoto mapacha kabla Mechi za makombe ya Mabara hayajaanza ila alikaa kimya hadi jana baada ya timu yake kutolewa ndio akasema
Mama wa hao watoto hajulikani
Sasa...
wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way...
Jay_z ameweka wazi kwenye wimbo uliopo kwenye album yake mpya 4:44 kuwa mama yake gloria carter ni msagaji
Amerap: Mama had four kids but she's a lesibian / Had to pretend so long that she's a...
Huyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy...
Matokeo ni kama ifuatavyo..
BEST INTERNATIONA ACT: AFRICA -WIZKID, hapa mpinzani mkubwa alikua DAVIDO
BEST GROUP - MIGOS
BEST MALE HIP HOP ARTIST - KENDRIC LAMAR, hapa mpinzani alikua DRAKE...
Msanii wa filamu nchini na Rais mpya wa FM Academia, Patcho Mwamba amefunguka kwa kusema haoni tatizo kwa bendi za muziki kutumbuiza katika kumbi za baa kwa kiingilio cha vinywaji kwa kuwa...