Makonda adaiwa kwenda South Africa kwa mara nyingine tena

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,191
144,818
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.

Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?

Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
 
Kipindi kile sakata la vyeti vilivyopamba moto alienda south zikaenezwa propaganda ikiongozwa na dada wa insta kuwa kuficha aibu kakimbilia south na atakaa huko hatorudi hali ikawa tofauti

Mimi naona kuendelea kumfuatilia huyu dogo ni kupoteza muda tuacheni kuwa obsessed na huyu jamaa

Bashite anawaumiza sana watu roho na sasa sifa ndio anazidisha kuwaumiza zaidi kwakuwa anajua mpo obsessed naye sana
 
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.

Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?

Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
Mkuu siku hizi unaishi Airport ukifuatilia watu wanaosafiri? Tena unawakagua kabisa kama wana rundo la mizigo?
 
He is obviously above the law.

The only half-sensible explanation for it is that the president has shouldered him with very special operation responsibities that he can't trust his ambassadors or professional intelligence people with. And you can't blame the president for that, look at the sleepwalking executives at TISS.
 
Bashite hawezi kwenda South Africa wale kwenye list yake wapo SA mnadanganyana kila siku tunawaangalia tuu SA akifika vijana wanamalizana nae kama mnabisha mpandisheni ndege ashuke oliver watu wana hasira nae mnatangaza uongo huko SA sio bongo kiongozi anaweza kutembea na siraha mpaka studio binafsi harafu watu wanalialia JF...narudia tena acheni kuzusha uongo SA ni kipusa huyo
 
Wale akina nani?! Unamaanisha wale aliowapa tahadhali in advance?! Ni drug dealers anaweza kumchukia Bashite wakati aliwafanyia favor?! Hivi kuna drug dealer anayekamatwa baada ya kuambiwa tunakuja kukukamata?!

Wenye chuki na Bashite ni wale ambao inawezekana sio drug dealers lakini wametangazwa hadharani kwamba ni drug dealers! Mtu kama Kinje hata ukimtangaza wala haimsumbui kwa sababu, iwe kweli au si kweli, majority mjini wanaamini kwamba Kinje ni drug dealers kwahiyo hamna jipya kwenye kauli ya Bashite ambae hata hivyo sikumbuki kama alimtaja!!!
 
b696e29b17c56d46058bb2e2374abc35.jpg
anaenda kuchukua vyeti vyake mlimuandama sana
 
South Afrika waliwahi kuweka hadharani suala la uchawi ya kuwa wanataka kifundishwe chuo kikuu kama zilivyo kozi nyingine, pengine huko ndo bashite anakopayia kiki ya jufanya mambo yake
 
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.

Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?

Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
Na wewe nenda kwani umezuiwa na nani?
 
Magufuli Alishasema Mtu wa serkali hasafiri nje mpaka Amtume yeye, Sasa mnathubutuje kuhoji Kama Ametumwa Akamwone one of the Supplies!
 
Back
Top Bottom