Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,083
4,125
Habari wadau,

Msanii Ali Kiba ameongeza mtoto wa tano kwa mama tofauti. Mzazi mwenzie huyo kwa sasa (single mother) ni mkazi wa Mombasa na anadai alipewa ujauzito kipindi Ali Kiba anapiga show pwani hiyo.

Dada huyo akadai kuwa baada ya kujifungua alimtafuta mzazi mwenzie ambaye ni Ali Kiba lakini hakufanikiwa.

Ali Kiba baada ya kuulizwa alimumunya mumunya maneno bila kutoa jibu la maana zaidi ya kusema kupima damu (DNA).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom