Msanii Fid Q amesema anapewa sifa nyingi ambazo amesema zimekuwa ni mzigo wa mwiba kwake kwa kuwa zinamfanya afikirie ni jinsi gani ataweza kufanya kama anavyofanya au vizuri zaidi ya anavyofanya...
Jamani leo nimeingia you tube na kucheki interview ya vanessa mdee ktk channel ya dizzim online, ameongea vitu vingi na haswa nadhani ni kwasababu aliingia amelewa yani yupo high ila sijajua ni...
Mimi Sijui huu wimbo ni mpya au wa zamani ila ni vyema nishauri ili kosa Kama hili lisijirudie tena. Mziki wetu unakuwa wa kimataifa kwa kasi sana. Ni vyema kuheshimu kaliba na tamaduni za mataifa...
Msanii wetu pendwa Esterlina Peter Sanga almaarufu officiallinah amejifungua mtoto wa kike na hivi ndivyo ilivyokuwa kabla ya kujifungua alipokuwa anapelekwa Leba.
Hongera sana Malkia wa Nguvu...
@DiamondKaranga pakiti moja shilingi Mia hiizi...
LADIES AND GENTLEMEN JUS WANTED TO LET YOU KNOW THAT'''
TAREHE 05/08/2017 PALE TAIFA MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA NCHI THE MAIN MAN, MR PRESIDENT...
Mwimbaji kutoka Toronto nchini Canada, Justin Bieber anadaiwa kuanza kwa vitendo safari yake ya kumrudia Mungu aliyokuwa akiizungumzia mara kwa mara, baada ya kuahirisha ziara yake.
Mtangazaji wa...
Huu wimbo mpya ws rich mavoko ni copy and paste ya wimbo wa show me by harmonizd. Sasa sijaelewa ni bifu au ni kwamba ameishiwa melody na mashsiri. Inasikitisha wakati mwingine mabit na mamelody...
Msanii Shetta
Msanii Shetta ametaka watu wasimuhisi kuwa anajishughulisha na biashara za madawa na badala yake watambue yeye ni mtu anayetumia fursa kila aonapo na ndio maana ana marafiki wengi...
=====
Alhamisi iliyopita kulienea taarifa za hali ya ugonjwa ya mama huyo kutokuwa nzuri baada ya kudaiwa kupumulia mashine ya oksijeni kwenye Kitengo cha Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali...
Takribani sasa kila video anayo itoa diamond platnumz inazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ujuzi wake tulio uzoea sasa kaishiwa kwa amabo wako makini wameweza kujionea nyimbo zake mbili hizo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Mashabiki wengi waliofulika kwenye show ya jana dar ambayo ilikuwa na mastaa wengi mmoja kutoka USA na SA pamoja na na wale wa hapa bongo kama v money...
(CNN)It was an oddly familiar O.J. Simpson that for a little while filled TV screens across America on Thursday.
A Nevada parole board decided Simpson should be freed after the former NFL star...
Nani anamkumbuka huyu dada aliwahi kuwika na nyimbo zake kama ngoma za kwetu, na fitina ambao ulikuwa kati ya nyimbo nzuri mara gafla baada ya album yake hiyo akapotea.
Kuna mwenye habari zake...
Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man...
Kuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama...
Mr Nice, mbongo flavor wa zamani amebabwa maeneo ya uwanja Fisi Dar, wakinywa pombe na mwanamke Fulani hivi.
Wakihojiwa na shilawadu ya Sudi Brown wa clouds FM hivi punde mashuhuda...