Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
1.SAM MISAGO vs B-TWELVE

2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)

*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid kati yao katika kila kipengele?

NB:kama huwa huwasikilizi/huwajui usicomment
 
B12 a.k.a b dozen ni mkali ile mbaya tatizo watangazaji wa east africa wanawageza wa clouds kiutangazaji
 
1.SAM MISAGO vs B-TWELVE

2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)

*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid kati yao katika kila kipengele?

NB:kama huwa huwasikilizi/huwajui usicomment

ningum kumjua mkali maana wanachukuliana swaggz!...sam namkubali...nashindwa kutoa marks kwa b twanga mana sijaona akirun show kwa Tv!...
adam na dulla...adam anajua mambo!...
 
sure dozen hajawah kufanya hvyo,misago naonaga kama yuko confident na anajiachia zaid akiwa kwenye kichupa
 
tusifananishe vitu visivyo fanana kabisa! wengine wamezoea radio tu na wengine wamezoea tv show na radio! sizani kama kutakuwa na usawa hapo kuwapambanisha watu wanao run show aired different way! jaribu kuwapambanisha watu wengine sio hawa!
 
visivyofanana kivp,kwani Sam na Dulla hawatangaz redion?jipange..
 
1.SAM MISAGO vs B-TWELVE
kwa watangazaji radio wa vipindi vya music vya mchana hamna wa kumfiki B12 kwa vyovyote kwenye issue ya utangazaji labda yule jamaa wa Kiss fm D7

2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)
Dulla ana copy na ku paste sauti ya Adam

hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid kati yao katika kila kipengele?

NB:kama huwa huwasikilizi/huwajui usicomment
 
asante muheshimiwa muuliza swali napenda kujibu swali lenye vipengele A NA Bkama ifuatavyo (A)B'twangala twiz,B 10 na bee..!,B moja mbili,B12... ametishaaaaaaa
(B)A.D PLUS,baba johny,bwana shamba,poor people president, ametishaaaaaaaaaa

huyo yambua kaanza juzi juzi afu kanabana pua kinoma yan
 
hahahahhahah!!!mpaka sasa naona hajajitokeza anayewajua B12 na MISAGO upande wa pili wa shilingi....wanafanana sana si utangazaji tu hata katika....................................wapi david cameron!
 
basi na we ni mmoja wao... mnajuana afu unacheka kisichochekesha
 
asante muheshimiwa muuliza swali napenda kujibu swali lenye vipengele A NA Bkama ifuatavyo (A)B'twangala twiz,B 10 na bee..!,B moja mbili,B12... ametishaaaaaaa
(B)A.D PLUS,baba johny,bwana shamba,poor people president, ametishaaaaaaaaaa

huyo yambua kaanza juzi juzi afu kanabana pua kinoma yan

mdau wa clouds fm...bisha?
 
basi na we ni mmoja wao... mnajuana afu unacheka kisichochekesha

mbona imekuuma wewe ni misago au b12?michongo mnayofanya siyo nyie watoto wa kiume na kwa taarifa yako kuna watu wamepanga siku mmoja wao akikupata wanawala mtungo na uchafu wenu wa kishoga!!!mnapigwa ndizi ili iweje?mbona wakali tunarun town kama kawa, kashfa zetu labda kuchukua mademu wa watu ila siyo kama nyie kashfa zenu wewe B12 na MISAGO
 
U were asked to compare them professional i.e on their radio presenting\djing ability...dude please
 
mbona imekuuma wewe ni misago au b12?michongo mnayofanya siyo nyie watoto wa kiume na kwa taarifa yako kuna watu wamepanga siku mmoja wao akikupata wanawala mtungo na uchafu wenu wa kishoga!!!mnapigwa ndizi ili iweje?mbona wakali tunarun town kama kawa, kashfa zetu labda kuchukua mademu wa watu ila siyo kama nyie kashfa zenu wewe B12 na MISAGO

wale vidume wenzako mkuu afu hauna uhakika na unachosema sio ishu mkuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom