Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii...
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia...
Jamani hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kumbe promo zote zile clouds walikuwa wanataka kumsajili alikiba. Upuuzi mtupu. Ila sio kesi levo zake ni za akina Rayvan
Sijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema.
Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi.
Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya...
Chidi Benz azua jipya mjini, adai 2Pac yuko hai na anaishi nchini Cuba, na wanaongea kila siku na tayari ameshafanya naye ngoma itakayotoka hivi karibuni.
Chidi Benz ambaye kwa sasa anazungumzwa...
Miongoni mwa nyimbo ambazo zilikuwa zina subiriwa kwa hamu huku ikipata airtime kubwa ya promo kutoka vituo vikubwa duniani Kama Mtv Base ni wimbo mpya ambao umetoka leo wa patoranking...
Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi
Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado...
Wadau kwa kilicho tokea Kenya,wa umini wa haki na demokrasia ya dhati watakubaliana na mimi kuwa mahakama ya kenya imeonesha dhahiri kuwa ni muhimili HURU na haiingiliwi ktk kufanya maamuzi yake...
hongera zao baadhi ya wasanii wa marekani,
wasanii wa tanzania ni vizuri kujifunza kitu kutoka kwa hawa wasanii wenzenu sio kwamba mchukue tu kwa mashabiki, mkumbuke na kuzirudisha kwa nyakati...
Maisha ni zaidi ya kuishi,maisha ni mahusiano na katika hili basi maisha yana maana zaidi ya kuishi.Mfano pale unapo amka asubuhi na kugundua kuwa kuna binadamu kama wewe wanaishi katika dunia...
Ni nadra sana kuona Watu wa ' Medani ' hizi Kubwa tatu ( 3 ) nchini Tanzania Kuoana wao kwa wao na kila unayekutana nae na ukimuuliza tu atakuambia ni bora asioe kuliko Kuona mwana ' Medani '...
Hii ngoma ya beka naona imekaa poa sana, ni mziki mzuri especially ukiusikiliza kwenye spika kubwa. Producer Maximizer ametisha sana.
!
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wa Moro azungumzia nyimbo tajwa mbili na kuzikubali zote. Pia Sele amesema kuwa Zilipendwa ni nyimbo kipenzi mtaani na vijijini kwa watu ambao labda uwezo wa wao ni mdogo kuitazama Youtube...
Msanii wa muziki bongo fleva Juma Jux aonyesha bado anahitaji uwepo wa aliyekuwa mpenzi wake msanii Vanessa Mdee, kwa kushindwa kuvumilia maumivu ya kuachana na kuweka bayana kwamba atafarijika...
Diamond ndo mtanzania pekee alietajwa kwenye 100 most influential young Africans 2016 katika list iliotoka Leo katika kipengele cha sports and entertainment.
Kutoka East Africa, Uganda amechomoza...
Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No...
Ukienda kule, ukirudi huku ni Domo kamchokoza King kiba matokeo yake kaangukia pua. Ukilala ukiamka story ni Mondi na Kiba. Ukisikiliza redioni ni Seduce me tu,naambiwa Zilipendwa wanapiga...