Diamond atajwa mtanzania pekee kwenye list ya 100 most influential young africans

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Diamond ndo mtanzania pekee alietajwa kwenye 100 most influential young Africans 2016 katika list iliotoka Leo katika kipengele cha sports and entertainment.
Kutoka East Africa, Uganda amechomoza Anna kansiime, huku Kenya wakichomoza lupita nyong'o na mtangazaji wa focus of Africa kutoka BBC anaitwa Sophie ikenye
Sophie-Ikenye.jpg

Kwa upande wa mwanamuziki wapo 3 tu , yaani Sarkodie kutoka Ghana, Wizkid kutoka Nigeria na Diamond Platnumz kutoka Tanzania
C3qB5SMXUAAyyak.jpg

CpkJVKrXYAEsbOT.jpg
 
Yaani huyo ndo mdudu gani?maana nimeona maneno ya ki english hapo.yaani ndo nini?
 
Back
Top Bottom