MSANII wa muziki wa RNB nchini, Juma Jux, anayetamba na wimbo wake mpya wa ‘Utaniua’ amefunguka juu ya uhusiano wake na mwanamuziki wa Tanzania, Vanessa Mdee, kuwa kwake kwanza ni familia yake...
Nawasalimu wana jukwaa wenzangu
Nimekuwa nikifwatilia industry hii ya media kwenye maswala yote yakiwemo ya michezo,muziki,na siasa pia.Leo nataka nimzungumzie huyu kijana kennedy ambaye...
Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata...
Aman iwe nanyi wapendwa
Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba
Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa...
Baada ya mfanyabiashara mashuhuri nchini, Yusuf Manji kuachiwa huru na Mahakama ya Kisutu jijini Dar, Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu ameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho kutokana na ujumbe...
Wu-Tang Clan members say the album Martin Shkreli bought for $2 million isn't an 'authorized' Wu-Tang album
John Lynch,Business Insider 9 hours ago
Reactions
Reblog on Tumblr
Share
Tweet...
SHAHIDI upande wa serikali kesi ya Wema Sepetu kutuhumiwa kutumia madawa ya kulevya amesema msokoto wa bangi ulikutwa ukiwa kabatini jikoni kwake.
Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa...
Habarini wanajamvi.
KUTOKA BONGO FLAVA:
Muziki wetu kwa sasa unakua kwa kiwango cha kimataifa kiasi cha kufanyika kile ambacho hakikuwahi kufikirika kichwani mwa watanzania wenyewe kuhusu BONGO...
Dah! Huyu Diamond wenu Watanzania kweli kidume maana kwa jinsi huwa namuonea wivu kwa huyo Zari wake....Aisei hatulii, mara kamtia mimba yule msanii waliyeshiriki naye kwenye wimbo wa 'Salome'...
MWIGIZAJI na mchekeshaji wa Filamu Bongo, Meya Shaabani amesema kabla ya kuingia katika ndoa aliichukulia poa, lakini kwa sasa anaona utamu wake na kumfanya afurahie maisha.
Meya alisema maisha...
Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi...
Kuna jamaa mmoja alikuwa anatangaza pale clouds FM kwenye kipindi cha the request show jumapili na kuna siku alipewa kuendesha kipindi cha xxl badala ya fetty, dozen na Adam walipokuwa...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kwasisi tunaofuatilia midundo ya mziki huwa tuna dil sana na watayalishaji wa hizo midundo, kwa maono yangu ninavyoona kuna anguko kubwa sana la jamaa yangu t...
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika...