HABARI WANA JUKWAA
Nmepitia ukurasa wa Mange Kimambi instagram kuna kampeni kaianzisha ya kumchangia Mh Lissu gharama za matibabu.So kwa ataependezwa juu ya hili apitie ukurasa wa huyo dada kupata...
Moja ya ishu ambazo zimekuwa zikijadiliwa kila siku hasa katika muziki wa Bongofleva ni kuhusu beef ambazo mara nyingi zimekuwa zikiwafanya baadhi ya wasanii kuingia katika malumbano kwa...
"Diamond ni daraja la kiba, Diamond platinum "Simba" anajitahidi sana, sana tena sana kumvuta Kiba awepo kwenye game lakini Kiba nadhani hajagundua jambo.
Diamond kama asinge mtupia dongo Kiba...
Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Husika na kichwa ha habar hapo juu
Yule dada yetu mkali dada mtata komando la kivita anayejiamin na asiye tishiwa nyau yupo mbion kuachia ngoma mpya ambayo...
Sent using Jamii Forums mobile app
===============
Taarifa Zaidi
Jamaa amepatikana, aliandika kwenye account yake ya Instagram kuwa alikuwa bagamoyo kwa kazi zake binafsi
Bwana Yesu apewe sifa....
Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania
Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza...
Who's feeling Cardi B right about now?
The chick is hot. She can spit. And her thick Hispanic accent is delectably catchy.
Looks like she's a hard worker and I love me some hardworking females...
Wanabodi nawasalimu kwa heshima.
Naomba nitoe pole kwa wanajamvi wote kwa mihangaiko ya hapa na pale.
Pili naomba niwaeleze serikali yangu kua kila senti wanayolipwa hawa vijana wetu wailipie...
Muda mfupi tu uliopita wakati Muwasilishaji katika Kongamano la ' Fursa 2017 ' linaloendelea sasa Mkoani Morogoro Msanii na Msomi ' aliyetukuka ' Nikki wa Pili amesema kwamba amevutiwa mno na...
Baada ya kutamba na kibao chake kipya 'Seduce Me', msanii AliKiba alipata fursa ya kubadilishana machache na Kwanza TV.
Mahojiano kamili iko hapa:
Kwanza TV - itaendelea kukuletea mahojiano...
Habari wadau
Kwa wanaopenda movie za Italian Mafia au 'Wiseguys' watakuwa wanafahamu angalau moja ya filamu nilizoziorodhesha hapo juu
Mwigizaji mkongwe wa filamu hizi Frank Vincent amefariki...
Habari zaenu
Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake...
Siku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi.
Sasa...