Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi...
126 Reactions
768 Replies
66K Views
Wazoefu mtwambie, Huyu mwanamama KISSA SINS atakua anakula lishe ya namna gani, Maana ni amegoma kabisa kuzeeka. Miaka inaenda bado namuona yuko vile vile tu😊
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, Niko katika harakati za kutafuta mtu wa kuishi naye maisha yote nitakayoishi kwenye hii sayari. Kuna huyu dada anatanganza Morning Trumpet wa Azam TV, ana sura nzuri, rangi safi...
13 Reactions
76 Replies
16K Views
Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia...
1 Reactions
11 Replies
834 Views
Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna. Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Umofia Kwenu wana JF, Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba...
1 Reactions
83 Replies
17K Views
Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata...
17 Reactions
74 Replies
6K Views
Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta == Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu...
13 Reactions
62 Replies
8K Views
Kwanza kabisa habari zenu waswahili wa Tanzania mliopo Tanzania na ambao mpo nje. Leo nitadadavua aina za umasikini na unaweza kujinasua vipi . Kuna aina tano za umasikini Kama ilivyo aina tano...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Msanii wa vichekesho toka Cheka Tu ajulikanae kwa jina la Boss Martha afariki dunia. Martha amefariki Asubuhi ya leo baada ya kuugua ghafla kwa kipindi kifupi. Inaelezwa kuwa alikuwa akiugua uti...
2 Reactions
88 Replies
25K Views
“Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost...
2 Reactions
1 Replies
563 Views
Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani...
34 Reactions
91 Replies
8K Views
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu . Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo. Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
39 Reactions
48 Replies
5K Views
Hongera sana kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha, tazama mbele brother na endelea kusamehe na kusahau yale ambayo yalitokea kipindi ulipojitoa kwa ajili ya Lisa. Karma is a bitch! Nature itakulipia...
16 Reactions
90 Replies
5K Views
Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu...... Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk Amina Chifupa...
10 Reactions
123 Replies
6K Views
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo...
32 Reactions
215 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…