Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kati ya watanzania walionifurahisha ni vijana wa bongo fleva na bongo movie ingawaje kazi zao sizipendi. Wamethubutu, wamepambana, wameweza na wanasonga mbele. Naona Diamond anawekeza kwenya tv...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Salam. Wako wapi maproducer wa bongo flava wa miaka ya hivi karbuni. Wapi Marco Chali, Ramaa, Bob Jr na Sharobaro records, AM records, Man walker, jamaa mwingine wa Tetemesha records ya mwanza...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
'Hey-Why' na mchumba ake wali chumbiana kwa mbwembwe kwa matumaini ya kuishi happily ever after baada ya kuvuta mkwanja mrefu toka TIGO. Lakini hadi leo mwaka umepita tangu uchumba utangazwe na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomb kujua kama Chid Benz alivyokamatwa Dodoma..ameshapewa dhamana...au bodo yuko Conduct ..au yuko Jera.....we miss u Chid Benz.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwimbaji staa tokea nchini Colombia, Shakira anaweza kufungwa jela kutokana na kosa ambalo limekuwa likiwapeleka mastaa wengi Mahakamani nchini Hispania la kushindwa kulipa kodi. Mamlaka ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi anaefahamu aweke wazi hapa, Tido yupo wapi sasa baada ya kutemeshwa mzigo TBC. zipo tetesi anataka kurudi BBC, kweli???
0 Reactions
91 Replies
14K Views
Mi naona kama wanashabihana for some character huwa siwaelewi hawa ndugu zetu Any wayz. Najua wana bodi mna mengi kuhusu hawa watu Hasa ki mienendo yao.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mkali wa muziki wa Chakacha na Mduara AT ambaye jana tu ameachia wimbo wake mpya wa 'Kazi yao', ametoa ushauri mzito kwa Babu Seya akimtahadharisha kuhusu kiki. Ikiwa ni muda mfupi tu tangu atoke...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mastaa wetu wa Kibongo mmelewa nini na jina "Lulu" mnatuchanganya wadau wenu. Ona hapa 1. Lulu Maiko 2. Lulu Diva 3. Lulu Semango 4. Amber Lulu 5. Aunty Lulu nk nk Wataalam wa "Brand Name"...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa tangu amtongoze mzazi mwenzie, Zari mwaka 2014 ndio ilikuwa mara yake ya mwisho kufanya hivyo hajawahi tena kutongoza mwanamke...
0 Reactions
64 Replies
16K Views
Hivi kati ya hawa wasanii wawili wanaounda kundi la weusi nani mchafu zaidi katika kurap.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke ayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo...
2 Reactions
38 Replies
8K Views
The lendary and only one trumpeter wa Afrika Kusini,Hugh Masekela amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Kwa vijana wa kileo itakuwa vigumu kumfahamu huyu gwiji wa jazz toka Sauzi. Lakini kwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hello guys Kwa mnaofuatilia vizur patrick ngowi alivokuwa na miaka 27 aliingia kwenye forbes africa under 30 list huku kampuni zake za solar ikiwa na revenue ya 2million usd kwa mwaka, akaitwa...
17 Reactions
90 Replies
14K Views
Mange Kimambi on Wanawake LIVE! Azungumzia maisha yake binafsi, mipango yake na ndoto yake ya kuolewa na mzungu.
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi...
1 Reactions
207 Replies
72K Views
Mama mzazi wa muigizaji wa filamu hapa nchini, Irene Uwoya amefunguka na kueleza kuwa hamtambui mume wa sasa wa mwanaye, Dogo Janja na anachokijua yeye ni kuwa mume wa ndoa wa mwanaye amefariki...
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari wanabodi, Jana majira ya saa nne nilipokea simu kutoka mtu wa karibu kunifahamisha vifo vya members wa team ya Diamond online,Platnumzmond na Nevvo Msafi ,walipata ajali maeneo ya...
4 Reactions
90 Replies
16K Views
BARUA KWA MAMA. Jina langu ni Aslay Isihack, jina hili alinipa Mama yangu mwenyewe Bi. Mozza kutokana na maisha niliyopita ya Muziki wengi wananifahamu kwa jina la Aslay. Barua kwa Mama yangu...
8 Reactions
59 Replies
52K Views
Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama...
13 Reactions
99 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…