Diamond kuwekeza kwenye TV itamlipa?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Kati ya watanzania walionifurahisha ni vijana wa bongo fleva na bongo movie ingawaje kazi zao sizipendi.

Wamethubutu, wamepambana, wameweza na wanasonga mbele.

Naona Diamond anawekeza kwenya tv na radio zaidi ya kwenye karanga na malashi, itamlipa?
 
Mwitiko wa kwenye karanga haujawa kama alivyopiga hesabu. Kiashiria ni kuanza kutoa promo kua ukinunua karanga utakuta zawadi ya gari, bajaji n.k.

Sijioni nikinunua karanga ili nipate zawadi ya gari.

Tv nahisi kigingi ni clouds na E tv akiwa na content nzuri anatoboa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom