Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live jiki Mwanza, Millard aliamua kukaa...
Ndugu wanajamvi msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha msanii Sam wa ukweli.
Kutokana na kifo hiki nimejifunza jambo moja tu ambalo ni kifo hakina huruma na...
1. Alikiba na Diamond
2. Joh makini na fid q
3. Nikki wa II na nikki mbishi
4. Harmonize na harmorapa
5. Godzilla na billnass
6. Q chilla na diamond
7. Mr blue na diamond
8. Izzo buzness na...
Tangu nimeanza kusikiliza Emcee kutoka Mwanza Farid Kubanda hajawahi kunichosha kumsikiliza kutokana na uwezo wake wa hali ya juu katika uchenguaji (kufoka)
Tukija kwenye swala la uandishi jamaa...
Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Aslay akidai kuwa waliwahi kuishi pamoja kinyumba...
Leo nimeamka na mood, ya kusikiliza mziki mzuri, basi katika kusikiliza kwangu nikajikuta namsikiliza huyu gwiji wa Bongo fleva Q Chillah {Q Chief] jamani jamaa anajua, hachoshi masikioni mwako...
Rapa wa kike wa bongo Chemical 'mwana wa Lubao' amefunguka na kudai hawezi kujutia kutokuolewa na mwanaume ambae ametoa usichana wake 'bikra' kwa kuwa anawajua wanaume waliokuwa wengi hawana...
Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao kinyume na taratibu huku akitangaza kuwa marehemu alikuwa...
Tangu Clouds waamue kumchunia Diamond miezi minne iliyopita ndio kwaanza Diamond anazidi kusumbua kila kukicha na scandal ndio zinaongezeka kila kukicha
Sasa hawa kaka zangu Soudy brown na Kwisa...
Habati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
“Simu yangu naipenda sana maana ina...
Baada ya Uzalendo kumshinda Mama ake Hamisa, amevunja ukimya nakumuombea Msamaha mtoto wake Huyo Wa pekee .Kama kuna popote mwanae kakosea yeye Kama mzazi hafurahishwi kinachoendelea Kwa mwanae...
Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa...
Ni hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa...
Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na...