Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Licha ya kuahidi kuwakabidhi nyumba kila mmoja kwenye kundi la Yamoto band Mkurugenzi na mwanzilishi wa Yamoto band na TMK Wanaume, Said Fella jana alimkabidhi kiongozi wa Yamoto band Aslay gari...
2 Reactions
30 Replies
25K Views
Baada ya Rayvanny msanii kutoka wasafi classic inayomilikiwa na Diamond Platinumz a.k.a Simba kupima HIV maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuweka hadharani matokeo huku akiwasii wasanii wenzake...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Waungwana habari zenu naamini mko swalama salimini,leo nimeamua kuuleta ukweli juu ya masuperstaa wakubwa hapa bongo yaani wasanii wenye nafasi zao kubwa katika ladha ya bongo(bongoflavour) na...
0 Reactions
44 Replies
19K Views
-Kupitia ukurasa wa Instagram wa Zamaradi mketema amethibitisha kuwa mtoto wa Munalove almaarufu kama patsmartboy amefariki dunia mda mfupi uliopita -Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita...
4 Reactions
365 Replies
64K Views
Msanii wa hip hop Dogo Janja amekanusha tetesi za kujihusisha kimapenzi na muigizaji wa zamani na mfanyabiashara Muna Love kwa kusema hajawahi kuwa na mahusiano na habari hizo zinamuweka sehemu...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa...
6 Reactions
383 Replies
33K Views
Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard...
8 Reactions
154 Replies
31K Views
Wakuu, Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi. Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu.. Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Sakata la Muna ni moto lakini mbele ya maji haufui joto. Si ajabu kesho mkaambiwa Familia ya Muna imezika kimya kimya maana ina haki ya privacy na ni swala la kifamilia. Mkanganyiko uliopo hadi...
9 Reactions
95 Replies
9K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada leo tar 06/07/2018 mida hii ya 23:19 nacheki shilawadu ambao wanaendelea kutujuza kwenye updates kuhusiana na msiba wa mtoto patrick wa munalove. Kitu...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Huyu dada jamani kaharibu kwa kina Esma weee sasa kahamia kwa Muna Casto na Peter. Anapendaga kujifanya yeye ndo dada wa wanaume kupita dada zao halisi. Hii issue ya Pat kuwa mtoto wa nani...
9 Reactions
258 Replies
22K Views
Asante Mod's kwa kuniachia huru... Ban inauma. Dada Munalove, kwanza shikamoo, japo najua utaikataa shikamoo yangu, maana mpaka leo bado unaji-bebisha wakati kidali poo ulicheza na shangazi yangu...
22 Reactions
252 Replies
54K Views
Kwa ufupi Jana Julai 4, 2018 Muna kupitia ukusara wa mtandao wa kijamii wa Instagram liandika baba wa mtoto ni Casto Dickson Dar es Salaam. Kufuatia sintofahamu kuhusu nani ni baba halisi wa...
0 Reactions
141 Replies
20K Views
Toka jana na leo asubuhi hizi taarifa zimezagaa sana. Tunambiwa mtoto anaumwa yupo Nairobi na kwa namna moja au nyingine nimeguswa ila mpaka sasa sijafahamu huyu mtoto anasumbuliwa na nini...
1 Reactions
122 Replies
30K Views
Wakuu wazima, Kwanza nitoe pole kwa dada huyu kwa kuondokewa na mwanae. Ushabiki tuweke pembeni. Jamani Muna hongera mama pamoja na kuwa wewe ulikuwa Star ila umeweza mlea mwanao katika ile...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
kwa wale wazee wanaofuatilia miziki ya hip hop especially trap music nani mkali kati ya hao wawili maana tunabishana sana kitaa upande wangu naona 21 anajua sana kutokana na ngoma zake mfano...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Upande mwingine wa Idd Amin, aliposhauri Wsanii.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Ni wakati wa kumsema huyu dada yetu mcute maana amekuwa bonge la mama. Haiwezekani miss wenzie wakina K lyn na Faraja Kotta, Nancy wawe mamiss mpaka leo yeye awe bonge nyanya. Haiingii...
3 Reactions
89 Replies
13K Views
Wadau niaje,e bwana kuna mrembo alikuwa ana-hit sana miaka ya 2006 kwa kushiriki kwenye video za wasanii wa mamtoni,nasikia amekuwa-deported,sasa sijui yupo wapi kwa sasa? ::::deportee - a person...
2 Reactions
47 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…