Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Picha iliozagaa katika mtandao wa facebook, ikimwonyesha mtangazaji mashuhuli wa idhaa ya kiswahili ambae ni raia wa Tanzania; Salim Kikeke imezua mjadala mzito. Picha hiyo ambayo Kikeke...
5 Reactions
193 Replies
54K Views
Wakuu huu wimbo mpyawa Ruby ni hatari tupu... nimeupa 100 kwa 100.
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Hadi wa Leo diamond hajawahi kukili alimfuta alikiba kwenye lala salama . diamond agekuwepo wapi Kama si alikiba alimpa nafasi Bob junior amrekodi diamond. Bila international collabo diamond si...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kati ya wasanii ambao nawafatilia sana katika kila neno analo tamka kwenye muziki wake basi ni Msanii Fid Q.... maana kila atamkalo kwenye wimbo lina maana kama si leo basi ni kesho litakuwa lina...
4 Reactions
48 Replies
8K Views
Nakaaya, ambae ni dada wa Nancy Sumari, amemjibu Mange kuhusiana na uzi aliouweka kwa blog yake kuhusu ndugu hawa kuwa mbuzi na chui. Uzi ule ulionekana kuelemea kwa Nancy Sumari kwani ulionesha...
1 Reactions
164 Replies
40K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz leo Julai 7, 2018 amesema kuwa endapo itatokea kesho akaaga dunia basi nusu ya mali zake zitachukuliwa na mama yake mzazi. Kupitia ukurasa wake...
21 Reactions
204 Replies
24K Views
Hatimaye mwalimu wa kiingereza wa diamond na wasanii wengine wa WCB amefanikiwa kumfanya Diamond aongee kiingereza. Nimesikiliza interview aliyoifanya Washington DC Marekani nikashangaa ama kweli...
5 Reactions
40 Replies
14K Views
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who were used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake...
3 Reactions
76 Replies
13K Views
Wasalaam.... Pamoja na Binti Hamisa kuwa tayari kumpigania Diamond hata kuwa tayari kutukanwa na ndugu wa Diamond bila kumsahau Mama yake lakini bado Diamond ameshindwa kuwa na huruma kwa Hamisa...
0 Reactions
103 Replies
14K Views
Mrembo mwenye asili ya Rwanda na Uganda anayejiita Choseme_bree ambaye ni rafiki yake Marehemu Mrembo Masogange ameonyesha kumkumbuka sana na rafiki yake huyo. Na sasa anayaishi maisha yake kwa...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Wadau kama kichwa kijielezavyo. Kuna mwenye kuujua huo wimbo wa Josee Mara wa Mama? Nakumbuka niliwahi kuwa nao kitambo, bahati mbaya nikaupoteza. Naupenda sana huo wimbo. Mwenye nao au kujua link...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu sakata la Jerry Muro liibuke mjadala umeelekea kwenye ' nadharia ya njama'. Jeshi la Polisi ndilo linaloonekana kutupiwa lawama zaidi. Nahofia hatulitendei haki. Mimi najaribu kuvaa '...
0 Reactions
129 Replies
33K Views
Mtoto Patrick ameshatangulia mbele za haki lakini huku nyuma, moto unawaka. Mama yake, Muna Love amesababisha kizaazaa kabla hata mwanaye hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, machozi jasho...
5 Reactions
344 Replies
43K Views
Huyu dogo wa Tandale na Mfalme wa Madale Chibu D,anazidi kuichafua Marekani kama sio kuivuruga kabisa...hizi show si mchezo... ....
4 Reactions
76 Replies
11K Views
MSANII maarufu wa vichekesho Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema amekoma kuwa kiongozi misibani kwa sababu ya matusi anayovuna akishika nafasi hiyo. Steve aliiambia Za Motomoto News...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
STAA wa R&B, Ed Sheeran yamemkuta! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya familia ya aliyekuwa mkali wa muziki huo, marehemu Marvin Gaye kutaka ilipwe dola milioni 100 (zaidi ya bilioni...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Mwili wa mtoto Patrick umefikishwa viwanja vya Leaders kutoka hospitali ya Mwananyamala unaagwa na ndugu, jamaa na marafiki Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
1 Reactions
90 Replies
24K Views
Ruge change bro..Karma inakuja Binafsi nauunga mkono hoja ya TID mnyama wa Kinondoni..
4 Reactions
98 Replies
11K Views
Huu wimbo wake mzuri sana sana angekuwa kaumba Nandy nahisi angepiga show za kutosha ila tatizo nyota. Ila pia sifa apewe Ibra Nation kwa uandishi na Melody nzuri.
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…