Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,209
42,071
Wasalaam....
Pamoja na Binti Hamisa kuwa tayari kumpigania Diamond hata kuwa tayari kutukanwa na ndugu wa Diamond bila kumsahau Mama yake lakini bado Diamond ameshindwa kuwa na huruma kwa Hamisa ambaye ana jaribu kila njia ya kumuipress bulaza Diamond..

Ukisoma alicho kiandika hapa chini Diamond utagundua kuwa amemwambia Hamisa aache kujisumbua yeye bado ana tafuta mwanamke......kwakweli huu ni udharirishaji mwingine wa Diamond kwa Hamisa mabaye ana jaribu kila njia kumuipress bulaza Diamond na ni wazi Diamond ameshikwa haswa na Dada na Mama yake...

Diamond ameandika hivi
Nukuuu

diamondplatnumz
"Sababu kubwa ya Kumpendea Sharuk Khan sio tu kuigiza bali ni Ufundi na kubobea kwake kwenye sekta ya Uigizaji wa Mapenzi katika Movie zake... Licha ya Vingi vinipavyo Furaha Lakini kuwa kwenye Mapenzi ama Kumpenda Mtu, ndio stareh yangu kubwa....Na kama ujuavyo, Unapokuwa na kajina Wengi wanakuwa wanakupenda, Wengine kwa dhati wengine kwa Matamanio...ila inapotokea anipendae nami nikampenda, basi huyo Hufaidi haswa Mapenzi yangu... na ndiomaana mara nyingi inakuwaga ni ngumu sana wengi Kunisahau pindi tutenganapo....kwani huwaga na Matendo Mengi Mazuri ya Kimahaba yanayoonekana na Yasiyoonekana gizani, kwasababu nayapenda Mapenzi, na ni Hodari sana kwenye kila taaluma ya kupetipeti... Kwa Machache nilojifunza kwenye Mahusiano nilisema, siku nikikutana na Mwanamke Mpya nitaetaka kuwa nae ...kabla ya Kuianza safari, sitomwambia neno, bali nitamuekea wimbo huu wa [HASHTAG]#BAILA[/HASHTAG] kwani Maneno yote nitayotaka kumwambia Nimeshayaweka hum....Akisha sikia na Aka-afki, Tutaianza Safari ya Mahab"
 
Mimi naona wewe ndiyo umejidhalilisha.
 
Aliitwa ana "domo kubwa" lakini baada ya kuzikamata hawamuiti "domo" bali anaitwa "domo la denda".
Watambwela sana kwamba wanampenda, Ila pesa ikipotea, Hutaona jike hata moja likimkaribia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom