Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako Alipohojiwa na Times Fm Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?! We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa! Video hapa chini...
2 Reactions
129 Replies
31K Views
Baada ya joh kusikia Fid q anaachia album yake ya kitaaolojia kesho Joh ameamua kuachia ngoma yake mpya inaitwa simwachii mungu halaf atatoa ngoma kila jtatu mpka tarehe 27.
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Ikiwa wimbo wa Seduce me ulioimbwa na msanii Alikiba umetimiza mwaka mmoja leo toka uachiwe leo ni vyema tukachambua maudhui ya wimbo huu. MAPENZI Mapenzi ndiyo dhamira kuu ya wimbo wa seduce...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwema wakuu Katika pitapita IG nimekutana na post ya bodyguard wa msanii Diamond akiendelea na majukumu yake mengine(kapata boss mpya) Najua hapa Jf kuna wajuzi,nipeni ronja nini kimemsibu huyu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya leo clouds FM kwenye show yao ya xxl walikuwa na mahojiano na Dogo Janja na katika mahojiano waligusia ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya katika madai yao watangazaji Adam Mchomvu na Dozen...
5 Reactions
37 Replies
8K Views
Msanii wa kizazi kipya, Vanessa mdee amekamatwa na polisi leo mchana, hata hivyo sababu ya kukamatwa kwake bado haijajulikana. ===== MSANII VANESSA MDEE AKAMATWA NA POLISI JIJINI DAR Jeshi la...
7 Reactions
107 Replies
23K Views
Kila nikijaribu inaniletea majibu ukurasa haupatikani, vp kapigwa pini nini? au ni kwangu tu
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Mpaka sasa nimeshakula block za watu maarufu wafuatao: Malisa Godilisten Huyu ni Kamanda wa CHADEMA ameniblock Facebook toka msiba wa komba. Kipindi hicho cha msiba nilipishana naye pale...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanamitindo Hamissa Mobetto amepata mwaliko wa mwanamitindo kutoka Marekani lira Galore ambaye pia ni ex girlfriend wa msanii Rick Ross Hata hivyo bado haijafahamika kama safari hiyo itahusisha...
4 Reactions
83 Replies
11K Views
Monica Lewinsky amekasirika kwa kukumbushwa mchepuko wake aitwaye Bill. Bill ni mume wa mgombea urais wa US aliyeshindwa kwa kura za 'turufu'. Mshindwa huyo wa urais anaitwa Hillary Rodham...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msanii Diamond anapoelekea siko kabisa. Kaanza kuvaa vikuku amehamia kwenye hereni ,daah anafeli sana ,tumeshampoteza huyu.
5 Reactions
124 Replies
20K Views
Jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki aliyemwambia kuwa kwasasa amekua ashikanishikani na wanawake. Diamond kajibu comment hiyo kupitia ukurasa wa Instagram wa @wasafitv ambao shabiki huyo aliacha...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
AKILI IMEGOMA KUSHAWISHIKA Nikimkumbuka vizuri ni msichana mrembo niliyekuwa napenda sana kazi zake za uigizaji, kapata umaarufu mkubwa sana kutokana na uigizaji na hata kuchukua vichwa vya...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Ni nini kinakuwaga kwenye haya makombe?
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefunguka kuzungumzia sakata la kutaka kurogwa na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto ikiwa ni siku chache toka audio inayodaiwa kuwa ya mrembo huyo isambae mtandaoni...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Aliitwa Lucky Philip dube, jina la lucky alipewa jina Hilo na mama yake baada ya mimba zake nyingi kuharibika. Alianza Muziki tangi akiwa mdogo Mwanamuziki wa reggae nchini Afrika kusini kuwahi...
20 Reactions
163 Replies
28K Views
Msanii ROSA REE Aachia Wimbo Mpya ...One Way, Utazame Hapa
0 Reactions
17 Replies
6K Views
kumbe ilikuwa ni food fight, kijana mkubwa kaumizwa sana, wakati wa msiba bi mkubwa alikuwa anaagiza special delivery ya wali na "samaki mkubwa ka mkono," hali chakula cha msibani kijana...
7 Reactions
21 Replies
9K Views
The list of top KE rappers of 2018 is out. It's compiled by Kenya's top music magazine Aipate. Find the list here.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…