bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Aliitwa Lucky Philip dube, jina la lucky alipewa jina Hilo na mama yake baada ya mimba zake nyingi kuharibika. Alianza Muziki tangi akiwa mdogo
Mwanamuziki wa reggae nchini Afrika kusini kuwahi kuuza mauzo makubwa ya Album zake "Album yake ya Prisoner Ni Album bora zaidi kuwahi kuuzwa miaka ya 1980/90.
Ameigiza movie kama vile "GETTING LUCKY", LUCKY STRIKES na VOICE IN THE DARK. Mkewe aliitwa zenele na alizaa nae watoto Saba
Kanuni za maisha yake Ni kama ifuatavyo, Hakuwahi kuvuta Bangi maisha yake yote,
Wala bangi wala kilevi chochote katika maisha yake yote na alifanya hivo ili aweze kuwa Baba bora kwa watoto wake na vijana kwa jumla. Alipinga Sana ubaguzi wa rangi vita na uhalifu wowote.
Aliuliwa huko Johannesburg katika kitongoji cha Rosettenville jion ya tarehe 18/10/2007, na wauji katika tukio Hilo walifungwa maisha.
Baba wa taifa Hilo Nelson Mandela Ni mmoja wa watu maarufu waliohudhuria mazishi yake.