MTOTO WA MAJUTO: Maiti ya mzee ipo ndani mama hali chakula cha msiba, ananunua nyumba ya tatu

Tindikali

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
1,747
2,000
kumbe ilikuwa ni food fight, kijana mkubwa kaumizwa sana, wakati wa msiba bi mkubwa alikuwa anaagiza special delivery ya wali na "samaki mkubwa ka mkono," hali chakula cha msibanikijana mdogo yeye tatizo uchawi, bi mkubwa anamsingizia ye ndo kamloga baba, lakini yeye anasema alikuwa dereva wa baba mikoani kote na ana teknik zote, angetaka kuwaua angewamwaga Wami pale au angewapigisha kwenye mti na yeye akabaki salama.My take:

Wengi, kama sio wote, tumewahi kufiwa, misiba huwa ina drama, lakini si lazima muanike dirty laundry zenu barazani, ndo maana wazungu huwa wanajiwahi mapema wakitangaza msiba "we want our privacy."

Unasemaje Bi Mkubwa anavunja umoja wa familia huku uko kwenye media unamwaga radhi kuhusu huyo huyo mama yenu, tena unachombezwa na kijana cha Millard Ayo ambacho hakijali chochote kimevaa earphones kinasikiliza ya kwake masikioni huku kinakuhoji, taking advantage ya ignorance na uswahili wa familia.
 
UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
3,019
2,000
Ndio maana tunasisitizwa mandike "will" kabla hamjafa.Inaepusha mambo yote haya.RIP mzee majuto
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,964
2,000
kumbe ilikuwa ni food fight, kijana mkubwa kaumizwa sana, wakati wa msiba bi mkubwa alikuwa anaagiza special delivery ya wali na "samaki mkubwa ka mkono," hali chakula cha msibani
Huyo mtoto wa majuto mpuuzi
Alitaka mama yake ale ugali na maharage?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,293
2,000
kumbe ilikuwa ni food fight, kijana mkubwa kaumizwa sana, wakati wa msiba bi mkubwa alikuwa anaagiza special delivery ya wali na "samaki mkubwa ka mkono," hali chakula cha msibanikijana mdogo yeye tatizo uchawi, bi mkubwa anamsingizia ye ndo kamloga baba, lakini yeye anasema alikuwa dereva wa baba mikoani kote na ana teknik zote, angetaka kuwaua angewamwaga Wami pale au angewapigisha kwenye mti na yeye akabaki salama.My take:

Wengi, kama sio wote, tumewahi kufiwa, misiba huwa ina drama, lakini si lazima muanike dirty laundry zenu barazani, ndo maana wazungu huwa wanajiwahi mapema wakitangaza msiba "we want our privacy."

Unasemaje Bi Mkubwa anavunja umoja wa familia huku uko kwenye media unamwaga radhi kuhusu huyo huyo mama yenu, tena unachombezwa na kijana cha Millard Ayo ambacho hakijali chochote kimevaa earphones kinasikiliza ya kwake masikioni huku kinakuhoji, taking advantage ya ignorance na uswahili wa familia.

Watanzania tuacheni Upumbavu / Upopoma na Uswahili. Msiba ukishaisha Jukumu kubwa lililopo ni Kumshukuru Mwenyezi Mungu na Kumuombea Marehemu makazi mema huko aendako na Sisi kuyatenda yale mema ambayo alikuwa akitenda na siyo kuanza Kugombana na kupigana Majungu. Na hapa ndiyo utaona tofauti kubwa kati ya Wazungu na Waafrika. Kuna vitu vinaudhi na kukera mno pale ukivisikia halafu kuna Wapuuzi wengine wanavishabikia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom