Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua...
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia...
Katika interview aliyofanyiwa na channel ya Sam Misago kwenye Youtube amekubali kuwa huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji.
Anasema ''mimi ni mfanyabiashara, kwenda kwa mganga lazima. Kuna wakati...
Mwanamuziki Nasir aka Nas amefunguka na kuelezea tabu na manyanyaso ambayo ameyapata kutoka kwa mtalaka wake Kelis ikiwa ni pamoja na kumtolea maneno ya kashfa na kumnyima fursa ya kuonana na...
Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano...
Afande kasema sugu ni mfupi,ana sura mbaya,mweusi,aliachwa na faiza,amepata mtoto uzeeni.
Mpaka kamuhusisha na marehemu mama yake sugu,afande wewe sugu ndo alikutoa kimuziki lakini mwisho wa...
Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya...
Watu hujikinga dhidi ya Uchawi kwa njia mbalimbali,kuvaa Rozari,Pete,wengine huchanja chale mwilini maana hata Mungu huitumia njia hii kuchanja aliowachagua kufanya nao kazi
wengine huokoka na...
Alie sema huu msemo hakukosea. Hasa ukimuangalia wema sepetu. Mimi wema sepetu nimeanza kumsikia sanaa 2015 sababu ndio mwaka nilianza kua active na social media.
Kipindi hicho alikua ashikiki...
Mshindi namba moja wa ulimbwende mkoa wa Kinondoni, Queen Elizabeth amejinyakulia na kutawazwa mshindi wa Miss Tanzania mwaka 2018 baada ya kuwashinda washiriki wengine 19. Mshindi huyo...
Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Emmanuel Mbasha ameamua kuwatolea uvivu Shilole akimtaka aache kupenda vya dezo apambane na hali yake.
Wiki mbili zilizopita Shilole alikaririwa na...
Mchekeshaji Emmanuel Mathias aka MC Pilipili ametangaza tayari amempata mwenza wake katika mahusiano na hivi karibuni wataingia kwenye maisha ya ndoa.
MC huyo maarufu kwa sasa siku ya jana...
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?
Je huko analala...
Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!!
Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss...
Baada ya mabinti hawa kupoteza wenza wao mmoja akimpoteza mmewe wa kwanza baada ya kufariki na mwingine ambaye ni trace chocolate kuachika kutoka kwa mpenzi wake msanii Aslay
Hivi sasa hawa...