Irene Uwoya na Tessy chocolate wana msongo wa mawazo wanahitaji msaada

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Baada ya mabinti hawa kupoteza wenza wao mmoja akimpoteza mmewe wa kwanza baada ya kufariki na mwingine ambaye ni trace chocolate kuachika kutoka kwa mpenzi wake msanii Aslay
tessychocolate-20180907-0001.jpg

Hivi sasa hawa mabinti ukiwaangalia hawapo sawa kama walivyokuwa mwanzo, wanahitaji ushauri maana wanaonekana wana stress, na wanalazimisha tu kuonekana wapo ok, Irene na trace wanatumia nguvu kubwa sasa kuonekana ni warembo na wana chura, wamekuwa wakitumia nguvu kubwa kuachia picha za ajabu ajabu insta yote ni kujaribu kuonyesha kuwa bado wapo vizuri
ireneuwoya8-20180907-0002.jpg

Lakini ukweli halisi ni kuwa wanafosi furraha lakini haipo moyoni mwao, irene nae baada ya kuona uzee unakuja anatumia nguvu kubwa kujifanya binti wa miaka 18, hadi akafikia kuitwa na basata kwa kupost picha zisizo na maadili hii yote kuonyesha watu kuwa bado kigoli lakini lumbe kashazeeka, tuwashauri hawa watu
ireneuwoya8-20180907-0001.jpg
 
Back
Top Bottom