1. Wasanii amabo tulikuwa tunaaminishwa kwamba hawana uwezo ndio wanaweza sana kupiga show na amsha amsha nyingi sana nimeziona kwa Dudu, Dully, Country, Moni, Nikki, Killer, incredible, stereo...
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "...
hii ngoma Sana...
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "...
hii ngoma Sana...
#BREAKING: Msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Mtopari, wameachiwa kwa dhamama katika Mahakama ya Kisutu leo. Amber Rutty amedhaminiwa na ndugu yake huku mpenzi wake akidhaminiwa na Mchungaji...
..kwanini Polisi wetu siyo waungwana?
..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake.
..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu...
Wala nisiende mbali,mmiliki ni Kusaga ,kwenye documents za brela TCRA anatumia jina la mzee tyson ana asilimia 92,diamond ana 8.
Majuzi kuna watu wakawa wanasema hii beef ni ya uongo kutengeneza...
Alianza hivi
Akaja hiviNa sasa kaja hivi
Hapa ndipo ninapoanza kumtoa akili huyu jamaa wenzako wamekukaushia wewe unaforce ili mgombane upate kiki,nashauri WCB waendelee kula bati na mambo yao...
Wakuu,
Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.
Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala...
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini...
Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta.
Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds.
Anasema jinsi figisu za Clouds...
Aman iwe juu yenu wakuu
Kwanza tunaanza na salam
Konk konk konk master yes ni konk tena kuiteka dunia jamaa kaja na bonge la pin ambalo kamshilikisha rayvany. Goma ni sumu sana ngoma...
Hongera kwa wasafi tamasha lenu limefanikiwa sana alafu tuseme tu ukweli toka Tanzania (Tanganyika) ipate Uhuru ndo wanakuwa wasanii wa kwanza kujaza vile tena kwa kiingilio cha elfu kumi
Huo ndo...
Kama wengi wenu mnavyojua kuwa Fiesta ili ahilishwa na kusababisha hasara kubwa kwa wasanii wengi nikiwepo mimi, kuna nguo za madancer na vinginevyo ambavyo nilitegemea kuvilipa baada ya show...
Sijawai kuona mwanaume mwenye mambo ya kipumbavu kama huyu mpuuzi Anayejiita dudu baya,
WCB kumshika mkono huyu mdingi naona amechanganyikiwa kabisa
Kutwa nzima anashinda mtandaoni kutupa...