Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,812
- 32,697
Ebwana wanaJF Mzuka!
Mwanadada mwanamziki maarufu duniani katika nyimbo taratibu za mapenzi Mariah Carey 45 ameitwa "a devil and evil witch" na kaka yake tumbo moja Morgan Caret 51 kwa kukataa kutoa msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu ya dada yao mkubwa Allison 54 ambaye ni muathirika wa Ukimwi.
Mariah Carey ambaye ana utajiri wa dollar za kimarekani million 520$ hana muda na ndugu zake na ajali kabisa na imembidi kaka yake huyo kutoka Italy alipokuwa anaishi kurudi nyumbani marekani kumuudumia dada yao.
Hali ya Allison dada yao kuna wakati ilikuwa mbaya sana kiasi cha kukaribia kufa ila afya yake iliimarika baada ya matibabu ya Ukimwi ila tatizo sasa anahitaji upasuaji kwenye ubongo wake na utu wa mgongo ambapo inahitajika kiasi kikubwa cha fedha na hawana. Kila wakimtafuta Mariah Carey anawakwepa na kukataa kuonana nao.
Dada yake Mariah Carey Allison
Cha kushangaza na kusikitisha Mariah Carey anatumia hela nyingi kuwahudumia mbwa zake kitendo ambacho kaka yake imemfanya amuite a devil, heartless and evil witch.
Mariah Carey na mchumba wake bilionea wa Australia na pete ya uchumba 5$ million dollars
Dada yake Mariah Carey alijiingiza katika biashara ya ukahaba miaka ya mwanzo wa 90 kuwalea na kuwahudumia wadogo zake kabla Mariah Carey ajatoka. Inasemekana 1994 waligombana na dada yake na ugomvi huo ulikuwa Mkali.
Sasa hivi Mariah Carey kachumbiwa na bilionea wa Australia na kuvishwa Pete iliyonakshiwa kwa almas yenye thamani ya dollar za kimarekani million 5$.
Undugu ni kufaana siyo kufanana!
Nimedokoa kutoka Dailymail online UK