Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wasalamu Wakuu. Naomba Ieleweke kuwa Sisi Kama Tanzania mziki wetu kutoboa Kimataifa Bado Sana Na Tuna Safari Ndefu Mnooo. Hatuwezi Kukaa Kuwa Sawa kama Nigeria, SA na Nchi zingine Zilizotoboa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kanye West (43) ametangaza kupitia mtandao wa Twitter kuwa atagombea Urais nchini Marekani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Novemba 2020 Bado haijafahamika kama ameshaanza mchakato huo...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, Leo katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) ndugu John Joseph Pombe Magufuli kulikuwepo na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii...
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa...
6 Reactions
459 Replies
71K Views
Nani mkali wakifanya mziki wa RnB kati ya The Weeknd na Justin Biber? Nani anahit hatari zaidi?
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu. Bila kupoteza muda, naomba anayefahamu alipo msanii wa zamani wa Ubongo fuleva "DAZ P" anijuze alipo. Huyu jamaa aliwahi kuvuma miaka ya 2000 na kibao chake "Kama unataka kuja...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Nikisikiliza hii DNA,All star akiwa na SZA,Humble,Loyality ft Rihanna,Element,Bitch don kill my vibe,Bad Blood akiwa na Taylor Swift.... Yupo wapi Kendrick Lamar? Mwana Hip Hop ambaye kwangu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
NAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19? NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine za kimagharibi na...
16 Reactions
99 Replies
11K Views
Movie ni moja ya burudani na umaarufu wa movie hupelekea umaarufu wa ma celebrity pia. Hizi ni baadhi ya movies ambazo nadhani pengine mimi au watu wengine wanazifahamu na hazitowahi kutokea...
5 Reactions
63 Replies
9K Views
MREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano mingi ya kampeni na bahati nzuri mahasimu wawili kwenye mziki wa Bongo Fleva (Diamond na Alikiba) wamekuwa wakikutanishwa kwenye jukwaa moja lakini ukiangalia...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama .. Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa...
15 Reactions
39 Replies
4K Views
Amesema bado anamkumbuka sana Mumewe mpendwa na hajawahi Kuhamisha au kubadili kitu chochote Nyumbani kwa Marehemu Mumewe Mpendwa
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mpaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
B. Dozen kuondoka Clouds wengi wanadhani ni sababu za marupurupu au kumsifia Diamond waziwazi ila ukweli ni kuwa chokochoko zilianza mwaka juzi baada ya marehemu Ruge kumchukua Kennedy toka East...
51 Reactions
173 Replies
41K Views
John Lester Nash-1940-2020 Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
"Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefanikiwa kufikisha followers million 10 katika mtandao wa instagram. Diamond ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo Afrika mashariki na...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…