Hatua na Mobeto

Hello guys,

Kuna project ambayo Hamisa Mobetto anaitangaza now ,inayofanyika kesho , ambayo Ni konganano la wajasiriamali, nilijisajiri katija bio yake, na kujaza form ambayo ndiyo itatumika Kama kiingilio.

Nimepigiwa simu leo wakiniuliza kama Nina account crdb ambayo iko active, Sasa najiuliza kunaweza kuwa na fursa ya mtonyo au?mliowahi shiriki kongamano kabla ya Hilo lililoandaliwa na mobetto vipi Kuna fursa ya mitaji?
Ila dada zangu wepesi sana kupigwa,huyo hamisa mwenyewe ni "mjasiria-mbunye" full kudanga still bado hamjiongezi.Ana biashara gani mjini kama sio kuuza kipochi manyoya zake jiongezeni.
 
Wajibu ndio kisha uje utupe mrejesho.

Kuwa makini chuchunge sio wa kumuamini.

Yule wa vibubu wengi walidhani wanapewa maujanja kumbe mwenzao kawageuza fursa kwa kununua vibubu kwake
😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom