Ebana tuongee ukweli hizi type ni noma sana, yani wanavutia ile mbaya.
kiukweli mimi kwa upande wangu mwanamke mnene mweusi hata bure sichukui,hata akae uchi hapo kitandani hata sisimamishi...
Huyu jamaa alikuwa ndiye mchoraji wa katuni maarufu ya baba ubaya kwenye Gazeti la Kiu kabla ya kuacha kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine. Sijui kama hili gazeti bado lipo mtaani...
Dizain kama mambo yanakua magumu kwa kijana wetu, ngoma mbili nje ya management yake ya zamani, Uno na Kushoto Kulia, ya kwanza ilikua pushed sana media tour Afrika ya Mashariki, interview kali...
Bobby Brown apoteza Mtoto Mwingine ndani ya Miaka 5
Kijana huyo Bobby Brown Jr amefariki akiwa na miaka 28
Dadake Bobby Kristin alifariki Miaka 5 iliyopita Kwenye ajali yenye utata
Taarifa...
Huyu mwamba huwa namwelewa Sana, hasa ngoma zake za kubembeleza , ni fundi haswa , sioni mpinzani Kwa huyu king Leopard , ..... First nilimuapreciate sana Dimond Kwa ngoma zake za hsia lakn tangu...
Gigy Siku hizi anakua mcharo, Naona mambo yake si Haba, halafu na yeye kawa pisi Kali Siku hizi , Tatizo tu uswahili ndo mwingi, ila kwa uzuri mashallah lizur na Naona mganga wake wa sasa hivi...
Looh!!, omba yote duniani lakini sio stress za mapenzi , bibie kakukuruka juu chini afananie na dada ake wa US , ili tu amrudishe kamwambie kwenye himaya yake, unaambiwa bibie karoga kwenye...
Habari Wana jamiforums
Binadamu tunapenda kukumbushwa kuwa sifa na majikwezo sio Mazuri pia usimdharau mtu kwa kukosa kitu
Maneno aliyoongea Diamond na ndugu zake kipindi Wanamuozesha Dada yao...
Mchekeshaji kutoka Nigeria, Emmanuella
Mchekeshaji maarufu Nigeria na Afrika, Emmanuella Samuel ambaye sasa ana umri wa miaka 10 amemjengea mama yake nyumba ya kifahari na kumpa kama zawadi ya...
Kuna mtu anaweza kuniambia siku Senzo alipigwa risasi na kufariki? Maana nasikia watu wanadai kuwa alipigwa risasi na kufariki, sijasikia hata ilikuwa mwaka gani!
=========
Angalia hii video...
Wizkidayo a.k.a StarBoy pamoja na Davido wote wameachia Album zao ambazo kwa sasa zimekuwa gumzo Afrika mpaka Worldwide.
Kama umepata fursa ya kuzisikiliza ipi umeielewa zaidi?
Wizkid MADE IN...
Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆
Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee
Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and...
Habari wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada, kama tujuavyo neno Gospel maana yake ni Habari njema kwa watu wote (kutokana na imani ya kikristo). Na kuna waimbaji wengi (hatuwaiti wasanii maana hamna...
Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake.
Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo...
Hizi nyimbo zao nazisikiliza kila siku mpaka mzungu wangu anaona wivu ukizingatia haelewi lugha hahahahaha.
Wimbo wa Belle9 listen, vitamin music, nilipe nisepe, etc. Nyimbo za Pasha Hidaya, Ni...
Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na...