Kumbe mji siyo mzito, walimwengu ndo wazito

warumi

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,075
2,000
Looh!!, omba yote duniani lakini sio stress za mapenzi , bibie kakukuruka juu chini afananie na dada ake wa US , ili tu amrudishe kamwambie kwenye himaya yake, unaambiwa bibie karoga kwenye viringe vyote Kumpata ex wake huyo ambaye wengi wanasema wanaendana Ila naona juhudi zimegonga mwamba.

Mbaya zaidi , sasa hvi anatumia kitu cha mjamaika, isitoshe yupo kwenye penzi zito na shoga ake ambaye nae anaigiza, mnene mfupi aliwahi kuokoka sijui ikawaje shetan akampitia, sasa hvi wanakoboana na star huyo mwenye Jina la utamu

Unaambiwa mambo hadharani, hawaogopi wala nini, yani zote hizo ni stress za kumkosa my number one , kaamua tu asagane, na unaambiwa sasa hvi Hana raha, muda wote Ana mawazo , Jina lake alilokua anaringia lime expire . Madanga wa kumhomhonga nyumba ya mil 400 Hawapo tena, dada kawa na nuksi, havumi tena

Jaman si uokoke tu kama Ma chupi ? Mbona mwenzio siku hizi Ana damshi , na danga juu kapata, kila siku anazidi kunawiri, c mlikua mnaroga wote? Haya na wewe okoka Uanze kudamshi huna jinsi , dawa zote zimekukataa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,075
2,000
Wema .Wema Wema qyuma nyoko.
Eti wadau hii mistari inapatikana kwenye wimbo gani nautafuta sana
Kwenye kitabu cha Mathayo kwenye biblia🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Top Bottom