Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jamaa ameandika stori yake ya ndoa kuhusu kuachana na mke wake amemkandia kwamba mke wake ndo chanzo cha kuvunjika ndoa na mambo mengi tu Sema sasa sijaelewa kabisa chanzo cha hiyo ndoa...
9 Reactions
151 Replies
16K Views
Msanii wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema kila mwezi huingiza Sh200 milioni kutokana na kuingia mikataba na kampuni mbalimbali kuwa balozi wa bidhaa zao. Akizungumza...
22 Reactions
258 Replies
31K Views
ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI COWBAMA. Na Xavi Hernandez Alcantara Wao walipewa wakina Tupac Shakur,Notorious,Eminem lakini sisi tulipewa wewe wao waliongezewa wakina Jay Z,T.I na wengine wengi...
8 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya Mtangazaji mwenye ushawishi wa kituo cha Times FM Ommary Rajabu Saleh Tambwe aka Lil Ommy kuaga rasmi kuwa hatoendelea kuwa mfanyakazi wa kituo hikch alichokifanyia kazi kwa muda mrefu...
12 Reactions
83 Replies
15K Views
Au mnasemaje wadau? ==== 9 Sep 2020 Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi. Kauli hii aliitoa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa...
10 Reactions
40 Replies
6K Views
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f, but i am curious to know who is s.s.bakhresa. Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business...
2 Reactions
222 Replies
67K Views
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au? Zuchu yuko overpriced Mauzo ya Ticket From Diamond Platnumz bingwa wa promotion...
35 Reactions
757 Replies
77K Views
Kama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika...
3 Reactions
23 Replies
7K Views
Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Huyu jamaa alitamba sana enzi 2007 kushuka chini mfano kibao cha Zuwena Je, yuko wapi sasa hivi?
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and...
9 Reactions
389 Replies
36K Views
Hatimaye yaliyosemwa kuhusu wapi anaelekea mtangazaji wa Times FM yametimia. Muda huu Lil Ommy ametambulishwa katika redio changa Wasafi FM Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
160 Replies
23K Views
Kumbe Leo siku yangu ya kuzaliwa hata sijui naambiwa na mtu mwingine OK kheri siku yangu ya kuzaliwa
2 Reactions
1 Replies
650 Views
Habari za muda huu wadau? Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early.. Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive. Hovyo...
35 Reactions
128 Replies
15K Views
Wazee wa jamvi huyu msanii wetu pendwa hapa bongo katoa nyimbo ambayo ukiisikiliza hovyo unaweza hisi anatukana Yaani kawapiga chenga BASATA wakijua kabisa anatukana ila pakumshikia sidhani kama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mayweather, ambaye ni promota wa ngumi na bondia wa zamani, amenunua jumba hilo katika kisiwa cha Palm Island na lina vyumba tisa vya kulala na mabafu 10. Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake...
8 Reactions
44 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…