Wana JF
Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na...
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.
Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na...
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''
count on...
Mwaka umeisha tayari hivyo hatuna budi kuangalia yale ya nyuma pia.
Kwa sekta ya burudani dj ni muhimu Sana hivyo ni vyema kutambua mchango wao kwa kuwataja popote pale walipo..
Kwangu mimi ni...
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali.
Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila...
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling...
hakutatokea tena msanii mkali, mwenye kipaji cha kueleweka na watu wa lika zote kama 20%...
kipindi hicho anatoka ili msanii ukubarike ni lazima ubane pua au uwe na sauti ya kumtoa nyoka pangoni...
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound...
Hivi Diamond akiwa peke yake sebuleni akasikia ngoma kali ya mwaka huu "UTU" ya King Kiba ikipigwa kwenye home theatre kali za sony anajikiaje, ni anapitia kwenye wakati gani maana lile jiwe ni...
Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita.
Kudos kwa hilo.
A beautiful love song from the Goddess #RosaRee and as always she never disappoints. In this amazing love story she has featured singer songwriter and violinist #AbbyChams and it’s a MUST WATCH...
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa...
Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha amemuombea mabaya Mchungaji Ambikile Mwasapile anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika eneo la Samunge, Loliondo kwamba anapaswa kulaaniwa hadi...
Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k
Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni 😁🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya...
habari ndugu.
Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana,
Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain...