Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na...
Kwenye ulimwengu huu ambao kila mtu anasaka pesa ili aweze kuishi maisha mazuri na ya kifahari, hio ni tofauti kwa familia ya marehemu bilionea maarufu kule Zimbabwe aitwae Ginimbi.
Kama...
DANSA anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi yake ya unenguaji ambayo kwa sasa ndiyo inampa zaidi kipato.
Queen Fraison amesema, hapendi kucheza...
Dogo anasumbua sana instagram kwa nyodo nyingi sana kwamba yeye hakuna wa kumfikia bongo kwa jeuri ya hela. kwa anayemjua vizuri huyu billionea atujulishe na sisi ili tu jifunze kutoka kwake jinsi...
Habari wakuu
Tangu nimeanza kuona picha za kuchora na za kuchonga za Hayati Mwenyeheri, Nyerere, haijawahi tokea siku wakamchora sahihi. Au wakamchonga sahihi. Kwamba hii nchi inashindwa kuipa...
Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu
Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo...
Katika mahaojiano ya mwanamuzi wa HipHop Chid Benz amemeonyesha hali ya kumkumbuka na kumkubali mwanamuziki mwenzake wa zamani Saida Karoli na kuwaomba Ayo tv wmtafute na kufanya nae mahojiano...
Zimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu
1. Ruge na Sugu
Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta
2 TMK halisi...
Mpiga picha namba moja wa wasanii nchini Tanzania ambae pia ana ushawishi mkubwa sana Instagram, Ashraf Lukamba ametuma ujumbe wa kumlilia Polepole.
Lukamba mwenye followers zaidi ya million...
"Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" — Faiza Ally
Mwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu...
Huyu mwanadada Jennifer Jovin(Niffer) ambaye kwa sasa ndio mwanamke mwenye IQ kubwa ya upambanaji ukilinganisha na vijana wenzie kama Zuhura wa Mondi, atahakikisha anawainua vijana wenzake...
Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya...
Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu...
Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash
https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
Sean “Diddy” Combs ameandika barua kwa Jaji Arun Subramanian akimuomba huruma kabla ya hukumu yake kusomwa leo Ijumaa, Oktoba 3, 2025. Msanii huyo alipatikana na hatia mwezi Julai kwa makosa...
Star wa muziki, Diamond Platnumz, ameamua kutumia siku yake ya kuzaliwa kutoa msaada wa kiasi cha TSh 37 milioni kwa Producer Bakteria, ambaye kwa sasa anapitia changamoto za kiafya baada ya...
Dani Alves alihukumiwa kwa kosa la KUBAKA (RAPE).
Kapoteza zaidi ya siku 800 jela
Mke alimkimbia
Kapoteza deals za udhamini na endorsement
kapoteza heshima yake
alipoteza kazi yake
Mwanamke...